watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Watoto wetu mmewapa kesi za Uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya Gari ya kifahari

    Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
  2. M

    Ni mwezi wa pili sasa tangu watoto watundu walipoharibu Tv ya sebuleni sijatengeneza, niendelee kukaza au imetosha ?

    Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu. Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya hapo ni mpaka wiki ijayo.
  3. Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  4. Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  5. M

    Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  6. Samia mamaangu, umekataliwa hadi watoto wadogo wamekukataa

    Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli. Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana. Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi...
  7. Waliokufa kwenye Maandamano, wanataka kuwazika kwenye Kaburi ya Pamoja. Tunaomba watoto wetu tukawazike

    Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha. Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu. TAARIFA MUHIMU. Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
  8. Hawa watoto wa bukumbili sijui mtawatawalaje huko mbele.

    Hawa madogo ni wabishi, ninayoyaona huku kitaa ni hatari vijana wamevurugwa sana. Hata mkijitangaza mkarudi ikulu huko mbele mtatawala kwa shida sana. Ama hakika #MO29 imefana
  9. Revealed: Watoto waliobemendwa ndio wanatukana sana Mitandaoni. Wazazi wao walikuwa Wazinzi

    Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na wachepukaji. Watoto wote waliobemendwa ndio wanaoongoza kwa matusi Mitandaoni🤣🤣🤣🤣
  10. O

    Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja. Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye...
  11. Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  12. Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

    Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi.. Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi...
  13. Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  14. Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

    Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri. Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti...
  15. M

    Hii ndio sababu kubwa inayofanya wazazi waliofanikiwa kuwa wagumu kutoa connection kwa marafiki za watoto wao, heri wampe ndugu au mtu baki wasie mjua

    Jioni, sebuleni kwenye nyumba ya kifahari. Baba anasoma ripoti. Anord anaingia kwa heshima. ANORD: (Anakohoa kidogo) Kama sio kuhusu gari lingine au pesa ya ziada BABA (MKURUGENZI WA TAASISI): (Bila kuangalia juu) Kama siyo kuhusu pesa au gari jingine, endelea. ANORD: (Anaketi) Siyo hilo. Ni...
  16. Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  17. Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

    Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga. Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende...
  18. Yaani mliamini mtaweza kuwadanganya Mababu zetu, Mababa zetu, na watoto pia??? Nyie watu mmeshindwa kusoma nyakati

    Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi. Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo. Yaani nione wamama hospitali...
  19. M

    Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…