fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,566
- 9,042
Wakenya mnachekesha sana,kelele ni nyingi kwakuwa mtoto wa Ruto kaolewa Tanzani,hivi hamjui kuwa June Ruto kaolewa Nigeria na Dr Alexander Ezenagu?
Ridhiki ya mwanamke hupatikana popote, hata wakiolewa ulaya ni sawa tuWakenya mnachekesha sana,kelele ni nyingi kwakuwa mtoto wa Ruto kaolewa Tanzani,hivi hamjui kuwa June Ruto kaolewa Nigeria na Dr Alexander Ezenagu?
Uspecial wao ni kwamba ni watoto wa tajiri mkubwa na pia ni rais wa nchi,ambae ana asili ya kimasaiHao watoto wa Ruto Wana uspecial gan haswaa
Wazuri Wana akili 😋Hao watoto wa Ruto Wana uspecial gan haswaa
Ubaya wake Nini?😬ila ni mbaya sana, jamaa kaacha vitu vya kisukuma vya maana kababika status
Ameolewa na bikra?Wakenya mnachekesha sana,kelele ni nyingi kwakuwa mtoto wa Ruto kaolewa Tanzani,hivi hamjui kuwa June Ruto kaolewa Nigeria na Dr Alexander Ezenagu?
Itoke wapi wakati watoto wa uhuru walimtelekeza!Ameolewa na bikra?
DuuhItoke wapi wakati watoto wa uhuru walimtelekeza!
hapana hawa wanajuana miaka mingi na wanapendana kwa dhatiila ni mbaya sana, jamaa kaacha vitu vya kisukuma vya maana kababika status
sijui lakini wanekuwa marafiki yapata miaka 2Ameolewa na bikra?