Wenye watoto wa kike tu

Wenye watoto wa kike tu

aliekatakamba humutuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
1,212
Reaction score
2,002
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.

Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuza😁

Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewe😕😕
 
Tupo imara sana kijana na tunauhakika wa kupata wajukuu. Hao wakiume ndo wanakuwa akina anko nani sijui wanakaribia vibaya. Watoto wote tuwalee kadili ya uwezo wetu na watakuwa sawa tu.
hakuna kitu kama hicho.mimi wakwangu nawalea kikamanda nawafanyisha kazi za kiume.

hao kina anko t walikosa malezi ya kiume wakalelewa kikike kike
 
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.

Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuza😁

Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewe😕😕
Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo.
Ni nadra sana mtoto umemlea vizuri akabadirika sana.
Halafu kumlea mtoto si tu kumwambia fanya hivi na usifanye hivi.
Lazima na wewe uyaishi unavyohimiza awe.

Mazingira pia yanayo mzunguka, marafiki anaoshinda nao wanamchango mkubwa kwenye tabia yake.

Kama unataka kuwin kuwa, rafiki yake wa kwanza. Hapo utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Malaya na single Maza wanachekesha jamaa sio Dada yako au kama sio Mwanao.
 
Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo.
Ni nadra sana mtoto umemlea vizuri akabadirika sana.
Halafu kumlea mtoto si tu kumwambia fanya hivi na usifanye hivi.
Lazima na wewe uyaishi unavyohimiza awe.

Mazingira pia yanayo mzunguka, marafiki anaoshinda nao wanamchango mkubwa kwenye tabia yake.

Kama unataka kuwin kuwa, rafiki yake wa kwanza. Hapo utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
bado shida iko palepale.hasa akibalehe
 
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.

Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuza😁

Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewe😕😕
Una Mawazo ya kizamani, mbona hujiulizi Kwa nini wewe una mama na Bibi!
 
Sasa unalia nini kwa kweli

Inabidi ukaombe toba na kuombea wanao na kutoa sadaka uwafungulie njia ya mafanikio

Wazazi wengine huwa mna gubu kubwa

Mtoto umleavyo ndivyo........ Malizia

Je, ungepata wa kiume ungefikiria lolote pia? Pia inaonekana ulianza mapemaaaaa matendo ya mchezo wa Baba na Mama 😃
 
Back
Top Bottom