watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ccm inavotumia watoto wa kimaskin kujaza mikutano yao.

    Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
  4. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watoto watulivu wa JF

    Leejay49 To yeye leo dada Wakenya wanasema "mali safi" Hongereni🌼🌼
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Salaam wana jamvi, Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu! Story kwa ufupi iko hivi: Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya kanisani, nimebahatika kupata watoto wawili (mkubwa miaka 4.7, mdogo miaka 2.5). Mimi na Mr tumekuwa kwenye...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Soemesheni watoto: Unaweza kupewa PhD za heshima lakini ukabaki muoga

    Mama hajiamini ingawa ni Rais kwasababu anaogopa wale ambao anafikiri wanamzidi ujuzi. Kwasababu ya kutojiamini kunaleta utamaduni wa kujipendekeza ili Mama aweze kukuamini kama wewe ni msomi. Balozi Mulamula aliondolewa sio kwa kukosa uwezo wa kuongoza wizara ya mambo ya nje lakini kwa uoga...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Luhende: Tutaweka kompyuta kila shule ili watoto wetu wajifunze

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Luhende, ameahidi kuhakikisha anaboresha sekta muhimu za maendeleo ikiwemo barabara, afya, elimu, kilimo na upatikanaji wa umeme endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume mtu nzima mwenye mke na watoto unachanganyikiwa na Mapenzi?

    Hivi hii imekaaje? Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo? Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  11. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  12. JamiiForums Tanzania Imeshafikia hatua ya kuwakusanya watoto kwenye mikutano

    Ama kweli hamkani si shwari kwa Chama Cha Majizi.Wenye kujitambua hawana muda wa kusogea kwenye 'maonyesho' yao. Zoa zoa na kusanya kusanya kwengineko kujaza mikutano sasa inakwenda mbali zaidi.Sasa ni kukusanya na wanafunzi kujaza mikutano bila ya kujali ni Jumapili au likizo.Nimejionea...
  13. JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi huyu mwamba kuwapa watoto wake adhabu ya namna hii?

    😂
  15. JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la Bima ya Afya Watoto, Wazee na Wajawazito ni uongo wa wazi! Ikiwa hadi sasa Watoto, Wajawazito na Wazee wanalipishwa, la Bima ataliweza?

    Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya miaka mitano Bure ni Malaria, Mkojo, Haja Kubwa, HIV. Vipimo wanavyopimwa Wajawazito na Wazee Bure...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Chameleone Kusaini talaka baada ya miaka 17 kwenye ndoa. Adai mali ni za watoto

    Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini...
  19. JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi: Watanzania waache kelele. Wanapigania vitu vidogo ambavyo walipaswa wapiganie watoto wa STD 2.

    Nje ya mada: Katika waliopiga kura za maoni ndani ya CCM kumteua mgombea Gwajima alikuwa miongoni mwao naye alimpa kura Rais Samia. Maana Samia alipata 100% Gwajima na wajumbe wengine hakuna aliyelalamika kura zao kuibiwa au kupotea. Wote walitiki. Leo hii Watanganyika wajinga wanamwona Gwajima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…