watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  5. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utanufaika na watoto uliozaa nje iwapo mama zao watakuwa walishafariki

    Watoto wa nje ya ndoa au wa michepuko, hawana tija katika maendeleo yako hasa pale utakapowahitaji; wao wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa hujikita kwa mama zao. Wakiwa wadogo wao na mama zao watakuhitaji katika kugharamia malezi n.k ila wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa, sahau kuambiwa asante...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

    Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke. October tunatiki kumuunga mkono mama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kamasi na chafya hizi, ugoro umeshawaingia. Watoto wapendwa shikilieni hapo hapo.

    Hadithi hadithi. Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea. Wale watoto wawili kwa nyakati tofauti wiki hii wameendelea kutema nyongo dhidi ya mkulu na kundi linalomzunguka ambalo inadaiwa ndilo linachafua hali ya katika kijiwe cha wadanganyika walio hoi bin taaban Kiuchumi na kiusalama pia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo wazazi wana vikosea kwa watoto

    Kwanza kumepeleka mtoto kusoma shule ya mbali wakati mnapo kaa kuna shule hapa nawa gusa wale wanao somesha shule za sogea tukae pia ata hao wanao somesha st nao bado una muaminije. Boda kukupelekea mtoto shule Kitu kingine ni kusahau kumkalilisha mtoto wako namba yako ya simu hii muhimu sana...
  10. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa vyuo vya kati (diploma )kuwasajili wanafunzi automatically na kugoma kufuta usajili unawaumiza watoto hawa

    Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB. Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mtoto mmoja kati ya kila watoto wanne sio wa Baba anayedhaniwa

    !!Wanaume kuna ujumbe wenu hapa... ✍Ripoti mpya ya Taasisi ya Vinasaba ya Smart DNA iliyo na makao yake nchini Nigeria imefichua kuwa kati ya watoto wanne, mmoja anakuwa sio mtoto halali wa baba anayedhaniwa na hivyo kuchochea kile ambacho wengi sasa wanakielezea kama mgogoro wa uzazi. ✍Ripoti...
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ukiona watoto wa ndugu zako hawakuheshimu basi ujue hao ndugu zako wanakusemaga vibaya watoto wao wakiwa wanasikia 😥

    Ukiona watoto wa ndugu zako hawakuheshimu basi ujue hao ndugu zako wanakusemaga vibaya watoto wao wakiwa wanasikia 😥 Jitahidi ujiepushe nao
  13. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wangu wakikua watanipenda zaidi wakijua wamechukua uzuri wangu

    Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania China kuanza kufundisha watoto masuala ya AI (Akili Mnemba) mwezi Septemba mwaka huu

    Wakuu, Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi Shule zote jijini Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa 8 ya ufundishaji wa AI kwa kila mwaka wa masomo, ama...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Ukisoma historia ya Rockefeller Family . Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks. Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa Ndugai Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa.
  16. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya vijana na watoto wa elf2

    Karibuni wadau wote mliozaliwa miaka ya 2000's wadada na vijana wa kiume tuje tupeane michongo mbalimbali ya maisha Shangazi zetu na wajomba muwepo kutupa ushauri tu na si vinginevyo
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Website sio mpaka uwe na kampuni, biashara unaweza kuwa na website kwaajili ya familia, watoto, wazazi, au hata yako mwenyewe.

    Wakuu, Habari! Watu wengi hufikiri kuwa na website ni kwa watu wenye biashara na makampuni tu… lakini si kweli! Unaweza kuwa na website kwaajili ya familia yako, watoto, wazazi, au hata wewe mwenyewe. Faida za kuwa na website yako: Hifadhi kumbukumbu zako: Picha, video, na mafaili mengine...
  18. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Muhammad jina lililoongoza kupewa watoto waliozaliwa mwaka 2024 Oslo, mji mkuu wa Norway

Back
Top Bottom