Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu
D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni .
Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii.
Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika.
Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari.
Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda.
Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ?
Siku moja nipo saloon
Alifiki binti m,moja
Baada ya kuketi
Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi
HER > GOOD MORNING DADY
HIM > MORNING DOTAA
HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ?
HER > SIM...
Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali.
Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti
Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti
Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika
Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKO🤣😂
NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha.
Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Kwasababu waliouwawa wengi ni vijana, halafu pili wengi wao walikuwa wanaishi mjini, halafu tatu maisha ya mjini yalivyo magumu, na halafu nne baba ndiye nguzo kuu ya familia.
Basi watoto wa mtaani wataongezeka kuanzia sasa na kuendelea, maana kuna wengine wameachwa na mimba.
Mama hauwi watoto wake, bali huwakumbatia na kuwalinda.
Hata vitabu vya dini vinasema, Mtoto wako akiomba mkate huwezi kumpa jiwe.
Hata sisi tuliomba haki hatukustahili kupewa vifo, vilema na majeraha..!!
Kama kulikua na makosa mama anatumia kiboko kukanya na kuadhibu na sio risasi za moto...
Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia.
Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu.
Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya hapo ni mpaka wiki ijayo.
Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni
Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
Eeee nacheka kama mazuri
Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba .
Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum
Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee .
Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli.
Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana.
Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.