watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazolipa wananchi kuzaa watoto

    Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi. Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wapelekeni watoto wenu wakasome Daystar University - "The University with a difference"

    Kwa wale mlio na mapesa benki, na ambao mna vijana wanaotarajia kujiunga vyuoni, nawashauri muwapeleke Daystar University. Kauli mbiu yake ni "The University with a difference." Kwanini chuo hicho kina kaulimbiu hiyo? Daystar University ni chuo kikuu kinachojumuisha maadili ya Kikristo katika...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura tusichague wacheza kamari uchaguzi ujao, watoto wetu wanaathirika

    Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani. Wanafunzi wanabet...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watoto 5 wafariki kwa Moto Kituo cha Yatima Tabora

    Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne. Watoto hao walikuwa ndani ya bweni lao la kulala wakati moto ulipozuka na kuliteketeza kabisa, huku...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi wa Kichina, Wachina wanaacha Watoto wengi wanapopita kwenye miradi

    Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa “Endapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine halali—halafu huyo mgeni akaondoka kabla mtoto hajazaliwa, je mtoto huyo anakuwa raia wa wapi?” Idara...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu. Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo. Jirani...
  7. Mangi Meno

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wende awachinja watoto wa mke mwenzake

    Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa miezi 6 na mmoja ana umri wa miaka sita (6). Chanzo cha tukio hilo ni wivu kwasababu mume wa Wende...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watakiwa kuwalea Watoto kwa kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Songwe - Jabir Makame: Vijana wenzangu, waoneni Watoto wakike kama nyara za Serikali

    MKUU wa Mkoa wa Songwe, Jabir Omari Makame, ametoa onyo kali kwa vijana wanaojihusisha kimapenzi na watoto wa kike na wanafunzi wakike, akisisitiza kuwa wasichana hao ni "nyara za serikali" na jamii inapaswa kuwalinda kwa nguvu zote. Makame alitoa kauli hiyo Julai 23, 2025, wakati...
  13. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

    Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto. Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu. Kama huna kipato cha kueleweka...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mnapoteza muda bila reforms mnaonekana kama watoto! Mama hauziki!

    Mnapoteza muda bila reforms mnaonekana kama watoto! Mama hauziki! Hata kama mkiweka post 100 haisaidii chochote
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Desturi za wasukuma

    ◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau ◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume ◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, ushauri kuntu wa wahenga unapoulizwa na 'watoto wa 2000'

    Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!" n.k) na vicheko (wera wera weraaaaa!!) kama vyote. Katikati ya 'raha' hii ya kushuhudia ugomvi wa...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
Back
Top Bottom