Home tuition bora kwa watoto wenye changamoto za masomo

Home tuition bora kwa watoto wenye changamoto za masomo

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
126
Reaction score
156
Je, mtoto wako: ❌ Hajui kusoma na kuandika?
❌ Ana changamoto darasani au anaachwa nyuma?
❌ Anaogopa masomo au hana msingi mzuri?

👉 USIJALI TENA!
Sisi ni walimu wabobezi wa Home Tuition, tunamfuata mtoto hadi nyumbani na kumjengea msingi imara kwa muda mfupi.
✅ TUNAPATIKANA BARA NA ZANZIBAR
✅ Mtoto akishindwa ndani ya wiki 2, MZAZI HATOLIPA
✅ Mafunzo ya karibu, uvumilivu na ufuatiliaji wa mtoto mmoja mmoja

📘 TUNAFUNDISHA:
✔️ Kusoma na Kuandika (kuanzia kabisa)
✔️ Mitaala yote (Chekechea hadi Sekondari)
✔️ Masomo yote
✔️ Lugha za Kigeni (English, n.k.)

📞 WASILIANI NASI SASA:
📱 Piga / Tuma SMS / WhatsApp
0674 090 429
🌟 Hakuna mtoto mjinga — kila mtoto ana uwezo, anachohitaji ni mwalimu
 
Watoto wako kila siku wanashika mkia darasani,utawaweza wa kwetu?
 
Mnaweza kumfundisha mtoto wa darasa la kwanza masomo ya mbele ili mwakani afanye mtihani wa darasa la 4?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom