wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ATCL kujigamba kuhudumia wateja 60,000 kwa mwezi ni failure. Ni wazi kuwa ndege nane zilinunuliwa kwa cash bila kufanya tathimini yakinifu

    Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa. Nilitegemea sababu hii nchi ipo uchumi wa kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia...
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA: Anaye jua biashara ya kuagiza magari kutoka Japan anijuze

    MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
  3. S

    JamiiForums Tanzania BoT fanyeni msako wa kushitukiza, bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za benki za wateja wao

    Katika hili, BOT ni kama wamelala, tena usingizi wa pono, kwani bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za Benki za wateja wanaoenda kuomba mikopo kama moja la shariti la kupewa mikopo wakiamini kukaa na kadi ya mteja ndio security ya fedha zao. Ukweli ni kwamba, kutokana na maendeleo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Bar punguzeni volume ya mziki, mnafukuza wateja

    Wadau wa jukwaa mnajua hapa ndio sehemu pekee pamekuwa pa kuwekana sawa kama jamii. Kwa muda mrefu wamiliki wa bar na pubs wanadhani kupiga mziki mkubwa inavutia wateja. Ukweli ni kwamba bar ndo sehemu watu tunabadilishana mawazo hata kufahamiana. Sasa bar nyingi miziki inakuwa juu kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

    Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake. Sera hizo mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa wateja wanaoukuja kila mara dukani na kutuhangaisha muda mrefu bila kununua kitu tunadili nao vipi?

    Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha. - Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi -Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji -Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia -Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?

    Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa. Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania Tigo Customer Care kuna shida gani hampokei simu za wateja?

    Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua. Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu. Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu. Najiuliza mbona hawa wahusika...
  13. JamiiForums Tanzania Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

    Mchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket. Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping...
  14. JamiiForums Tanzania Sehemu nne za kunasa wateja mtandaoni 2021

    Hii ni kwa wafanyabiashara,wamiliki wa blogs na wamiliki wa mitandao(tovuti) makala hii inakupa vyanzo vinne vya kupata watembeleaji na wateja mtandaoni na mbinu za kunasa watembeleaji kutoka vyanzo husikia. Vyanzo vyenyewe ni kama vifuatavyo 1. Google search 2. Facebook 3. Youtube 4...
  15. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mbezi Shule tunaomba mtutendee haki wateja wapya

    Nianze kwa kupongeza juhudi kubwa zinazofanywa na watumishi wote wa TANESCO nchini kote bila kuwasahau watumishi wanaotuhakikishia huduma hii ya umeme ipo kwa watumiaji muda mwingi KATIKA ENEO la Mbezi na viunga vyake vyote pokeeni pongezi hizi. Naendelea kutambua na kuheshimu kazi inayofanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye maduka ya reja reja ni kitu gani ukiweka kinavutia zaidi wateja?

    Najiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati. Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.
  17. JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  18. JamiiForums Tanzania Total yahitimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuselebuka na Jerusalema dance challenge, waahidi Watanzania zawadi ya X-Mass na Mwaka Mpya

    Wanabodi, Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network...
  19. JamiiForums Tanzania Usipende kutoa siri za biashara yako kwa watu wasio wateja wako

    Katika vitu napataga shida ni kwenye kuchagua vichwa vya habari ya thread ninazoanzisha kwahiyo ndugu zangu tuwe tunasameheana inapotokea nimeandka kichwa cha habari halafu content inapishana hapo muwe mnanisamehe tu. Leo bana kuna ishu moja nataka kuongea na wafanyabiashara/wajasiriamali sio...
  20. JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubahatisha imulikeni kampuni ya MeriadianBet kwa kufunga akaunti za wateja

    Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao tumefungiwa na tunapesa zetu kwenye akaunti hizo licha ya kutuma vitu wanavyo vitaka imechukua muda mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…