wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    Kwanini wateja wanatumia “mna” na “wingi” wanapoulizia bidhaa? Ni saikolojia au mazoea ya lugha?

    Habari wana JF Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani. Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu. Mfano: •Hivi mna pump za Pedrollo? •Mna taa za Tronic? •Mna pipes za PVC? •Mna switches za umeme? •Mna...
  2. D

    Wateja wakumbushwa usomaji dira za maji shirikishi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma. Zoezi la usomaji mita...
  3. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  4. A

    Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

    .Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile .Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi .Ununue Bidhaa...
  5. Website Tanzania

    Upo kwenye hii list na hauna website. Basi unapoteza mamia ya wateja kila siku

    Nitaongea ukweli bila kupaka sukari. Mwaka 2026 mteja hakutafuti kwa kuuliza kwa jirani. Anachofanya ni kuandika Google: “Hospitali nzuri karibu nami” “Car dealer Dar es Salaam” “Law firm Tanzania” “Hotel near me” Sasa jiulize… Anapoandika hivyo — anakukuta? au anakutana na competitor wako...
  6. A

    KERO betPawa wanafanya michezo michafu ya kutotoa fedha kwa Wateja wao

    Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika. Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya...
  7. W

    Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
  8. Imani rubaba

    Ng'ombe mmoja anatoa sio chini ya lita 25 za maziwa, ninao zaidi ya 10 wateja hadi tunawakataa

    📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA “Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa sana. Tunauza katika maeneo mbalimbali ikiwemo mashuleni kutokana na ubora wa maziwa tunayozalisha.” —...
  9. R

    PSSSF tafuteni njia ya kuweza kuhakiki kitumia simu za wateja weni ( wastaafu)

    Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
  10. Sifi Leo

    Uwezi amini kale kagest ka Hayati Magufuli hapa chato kama mpaka kunguni, kamebakia na wateja wa shoo time, familia kabomoeni kana mtia dhambi.

    Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
  11. Pfizer

    TCB yazindua kampeni ya Sikukuu yenye Rejesho la 10% kwa Wateja

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu kwa ajili ya kuwazawadia wateja wake wanaofanya malipo kwa kutumia kadi ya Popote Visa, ambapo watapata rejesho la 10% kwa kila muamala unaokidhi vigezo vilivyowekwa na benki. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
  12. H

    Mahakama kuwataka wateja wake kununua "flash" kwaajili ya hukumu ni sawa??

    Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao. Hivi jamani 80% ya watanzania waishio vijijini wanauelewa na hivi vitu wanavyokaa tu viongozi wa mahakama na kupanga kwa maamuzi yao...
  13. Dalton elijah

    Je ni kweli Samsung ina App ya Siri Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje? Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
  14. R

    Vodacom kurejesha Bando kwa wateja walionunua na hawakutumia wakati Mtandao ulipozimwa

    Wakuu, Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
  15. M

    GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  16. H

    Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  17. Mad Max

    Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

    Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida. Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3. Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
  18. hsnaturalfertility

    CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

    Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete. Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo. Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya...
  19. britanicca

    Kwanini Taasisi huwa hazisomi emails za wateja ? Tatizo la Benk za Tanzania na mitandao ya simu

    Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania 🇹🇿 Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa...
  20. britanicca

    Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo

    Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo. Britanicca
Back
Top Bottom