watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Badala ya watawala kukomalia kusema hakuna maandamano 7/7, wangejiuliza kama kuna wananchi wana sababu za msingi za kutaka kuandamana siku hiyo

    Busara katika kukabiliana na jambo lolote unalotaka lisitokee, ni kujiuliza kama kuna sabau za msingi zinazofanya litokeee. Hapo utakuwa unaangalia chanzo, source. Sasa japo ni jambo la kuaibisha (embarrassing) kwa utawala wowote raia wake kuandamana. Inafedhehesha na inatia aibu. Hata...
  2. Room 28

    JamiiForums Tanzania Je watawala wetu (ssm) mkiiona Adis Ababa,Ethiopia miaka 5 Vs Dar,Tanzania miaka 60 mnajisikiaje??

    Mimi si mpenzi wa siasa,lakini naweza kusema ni mpenzi wa kulinganisha mambo hasa uchumi. Jiji la Adis ababa limetoka kutoka jiji la kawaida kuwa jiji lenye hadhi ya juu ya kimataifa ndani ya miaka 5 tu ya utawala wa Abby Ahmed. Wakati huo huo tuna jiji la Dar es salaam ambalo limejengwa kwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tatizo lililopo ni kwamba watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo

    "Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo na taifa letu kwa ujumla. Wao wanaona kama vile mambo yako vizuri, na vyombo vyao mbalimbali...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Watu wanaanza kuzoea risasi. Tunakokwenda siyo kuzuri. Watawala kuweni wasikivu. Wasikilize wananchi ambao ndio waajiri wenu

    Wasikilize washajitoa mhanga! Hiki si kiashiria kizuri. Mtaua wangapi?
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makundi ya WhatsApp Siha: Udhalilishaji Watawala

    KERO: MATUMIZI MABAYA YA MAKUNDI YA WHATSAPP WILAYANI SIHA Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Siha. Nina kero kuhusu uwepo wa makundi ya WhatsApp yanayotambulika kwa majina ya Siha Development, Siha Unity na Sauti ya Siha. Makundi haya ambayo awali yalikuwa yakitumika kujadili maendeleo ya wananchi...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mtumishi aliyekubalika na watawala CCM na kudumu muda mrefu zaidi katika nafasi yake zaidi ya Jaji Mutungi?

    Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote. Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Spana wanazopiga CHADEMA kwenye mikutano ya hadhara, ni kali sana na sidhani kama watawala wataweza kuvumilia ukweli wanaoambiwa

    Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda. Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

    Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Golugwa: Watawala lazima wachukue hatua za kidharura si kulalamika bei zimepanda hata majirani zetu, Manufaa ya akiba iko wapi?

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 12, 2026, Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amezihoji mamlaka kuhusu akiba iliyokuwepo ya miezi mitatu iko wapi ikiwa wananchi hawanufaiki nayo? Ameongeza pia, Mamlaka zinatakiwa ziondoe Kodi iliyopelekea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watawala wameshawaona watanganyika kuwa ni takataka, unaweza kuwa-treat kama magunia ya viazi..Lumpen proletariats

    Haya yanayofanywa na Zanzibar dhidi ya TANGANYIKA ni wazi wameshatuona kama sawa na magunia ya viazi mviringo ambayo unaweza kuyaviringisha unavyotaka! The whole 64 + millions Tanganyikans ni Lumpen Proletariats! Lacking class consciousness and the inability to act as a unified political force!
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mashulizi Dhidi ya Iran Yalenge Watawala, Wananchi Walindwe Au Wasaidiwe Kuingia Mataifa Jirani.

    Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI. Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa: 1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran. 2. Wananchi...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali

    Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali. Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
Back
Top Bottom