watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kitendawili cha utawala bora kwa watawala na viongozi wetu

    Neno “Utawala”pekee linaweza kutumika katika fasihi kadhaa, mfano utawala katika ngazi za taasisi (corporate governance), utawala wa kimataifa,(international governance),utawala wa kitaifa, (national governance) lakini pia utawala wa mitaa (local governance). Utawala bora ni matumizi ya uwezo...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

    MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike. Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪 Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi

    Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake. Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele. Kuwa viongozi wao si wezi, pana hata haja ya kuuliza? Kwa hakika tulipo, hitaji la kuwa na katiba itakayo tuhakikishia tuna watu...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

    “Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu. “Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watawala, wananchi wana haki ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati

    Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi. Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watawala tumefanikiwa kudhibiti kipindupindu au uwepo wa Covid unaathiri kutokea kwa kipindupindu?

    Kipindi hiki cha December kuelekea January, ni kipindi cha msimu wa maembe, matunda ambayo msimu wake huambatana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Hata hivyo, kwa miaka karibu mitatu sasa , sijasikia habari ya mlipuko wa kipindupindu katika maeneo yoyote ya nchi yetu kama ilivyokuwa...
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania CCM ni watawala na si viongozi, wapo madarakani kwa maslahi yao

    Wasalaam. Nitafafanua kwa ufupi Uongozi ni mamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo na kipaumbele chake huwa watu, lakini mtawala(CCM) huangalia vitu na si watu, hugusa maslahi yake na si watu, hushughulila na leo wala si kesho. Mtawala huiga na kukarabati hana uwezo wa kubuni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tukio hili linaonyesha ni jinsi gani wenzetu wako civilised na kwamba watawala Ulaya sio miungu watu kama huku kwetu na hii Tulia Ackson inamhusu

    Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Ndugai ni over-reaction, watawala jaribuni kuwa na ustahimilivu

    Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila kutumia mabavu. Hili ni muhimu ukichukulia kwamba maisha ya binadamu hayategemei mamlaka pekee au...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Anayeshupaza shingo yake mwisho wake? Je, inawahusu watawala wa sasa hapa Tanzania?

    Kelele zilikuwa nyingi kumkomesha Polepole kuropoka ropoka kupitia shule yake. Akashupaza shingo yake na kutoa shule kubwa Zaidi yenye vijembe kibao ndani yake. Mwishowe tuliona kabisa wakaja TCRA wakakata shingo yake! Mbaya Zaidi amepelekwa na kwenye LiCHAMA lake pengine na bungeni anaweza...
  12. Konzo Ikweta

    JamiiForums Tanzania Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona mahabusu ana amani moyoni, waliomweka mahabusu wanateseka. Tuzidi kumtumaini Mungu atupe viongozi SIYO watawala

    Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

    Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
  15. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee wananchi wako tayari kuburuzwa na kundi fulani la watawala

    Ndani ya miaka sita ilyopita, nchi hii tumeshuhudia sheria zilizopo zikipindisha haki kwa kiwango cha kutisha. Raia wakitendewa ndivo sivyo katika nyanja mbalimbali. Vyombo vya maamuzi zikiwemo mahakama vikifichwa mfukoni na kundi fulani, kitu kinachopelekea kundi lenye haki likiumizwa vibaya...
  16. VAPS

    JamiiForums Tanzania Watawala boresheni mifumo tuendane na kasi ya dunia

    Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana. Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa kuongeza utawanyo bidhaa na sio uzalishaji. (Machinga economy) Serikali iwezeshe vikundi na wachache miradi...
Back
Top Bottom