Watu watatu wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kuua mwanamke Mkoani Mtwara miaka 20 iliyopita.
Watuhumiwa hao ni wakazi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Nora Hamisi...
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara limethibitisha mwanaume mmoja ajulikanae kwa jina la Simon Zakalia (58) kushikiliwa kwa tuhuma za ubakaji wa watoto watatu Wilayani Hanang mkoani humo akiwemo binti yake.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara, Limited Mhongole amesema mtuhumiwa huyo...
Watu kadhaaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakiwa kwenye shughuli za machimbo ya mawe katika eneo la machimbo ya Kikikaka, Mji Mwema Kigamboni, Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa za awali shughuli za uokoaji zinaendelea.
Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la...
Watu watatu ambao ni Wanaume wawili na Mwanamke mmoja wamefariki na mmoja kujeruhiwa katika ajali ya gari baada ya Lori kuacha njia na kuingia katika nyumba iliyo karibu na barabara Mikumi Barabara ya Morogoro-Iringa.
Majeruhi Rajabu Kapomba amesema ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo machi 25...
Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
Kenya imetangaza mlipuko wa homa ya manjano baada ya watu watatu kufariki dunia na kubainika wengine 15 wanashukiwa kuambukizwa katika kaunti ya Isiolo, Kaskazini mwa nchi hiyo.
Wizara ya Afya inasema imetuma jopo la wataalamu wa kushughulikia suala hilo kwa haraka. Wizara ilisema pia kuwa...
Kwa ufupi tu ni kwamba Kesi ya Mh. Mbowe tangu ianze kuunguruma hadi leo hii kitu nilichojifunza kwa Jeshi letu la polisi linaongozwa kihuni,kikatili na ubabe usio na ulazima kwa maagizo ya IGP NYAKORO SIRRO.
Pia jeshi la polisi limejaa askari wajinga, bumbumbu wa sheria na hata ufahamu wa...
Video ya Vladmir Putin akihojiwa na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya magharibi inatembea mitandaoni. Putin anajitahidi sana kujenga hoja za kujibu maswali lakini kama kawaida yake anarudia makosa yale yale ya miaka yote. Putin aidha hana team nzuri ya Diplomasia au anaogopwa na...
Jeshi la taifa la Kongo FARDC limetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania ambao ni waasi wa ADF waliosajiriwa wilayani Beni mashariki mwa Kongo.
Raia hao wa Tanzania, walikamatwa Jumapili hii, Februari 6, 2022 wakati wa doria zilizofanywa na askari wa Kongo katika bonde la Mwalika, katika...
Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi.
My take:
Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.
Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF
UPDATE
Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.
17” Kagera Sugar 0...
Historia ya kesi ya Mbowe na Wenzake
Freeman Akamatwa Mwanza 21Julai 2021
Mnamo tarehe 21 Julai mwaka 2021, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilimtia nguvuni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia, alipokuwa ameenda kwenye ziara za shughuli za chama chao...
Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi.
Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
=======
Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
jamhuri
kesi
kesi ya mbowe
kesi ya ugaidi
mahakama
mahakama kuu
maswali
matatu
mbowe
mbowe na wenzake
muhimu
sana
tarehe
ugaidi
ulinzi
ushahidi
watatu
wenzake
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Pongwe Msungura, Kata ya Msata.
Wankyo alisema watu hao waliokota chuma kinachodhaniwa kuwa ni bomu ambacho kililipuka mikononi mwao na...
1. Henock Inonga
Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2.
Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali.
Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.