Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema umasikini wa Watanzania ni wa kutengenezwa, kutokana na nchi kushindwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata na kuongeza thamani Madini yanayozalishwa nchini, badala yake yanasafirishwa Madini ghafi nje ya nchi na kupeleka ajira za Watanzania...