There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo.
Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS?
Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo?
Picha zote...
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama –...
Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa.
Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo..
Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania.
Sasa wakati wasikilizaji wakipigwa na butwaa na kauli ya Samia kuna jamaa yeye alikuwa mstari wa mbele kupiga makofi kwa nguvu...
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.
Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
SAsa kesho ndio tunasikia kupanda kwa nauli za usafirishaji,wenzetu kenya wameshaingia kwenye phase 2 yaani uhaba wa mafuta kutoka phase 1 ya kupanda bei.
Kesho Bi mkubwa atakuja na bla bla kibao najua kwa sababu washauri wake hawajui kufanya analysis ya mambo vizuri.
Kwa hiyo watanzania...
Hamjambo!
1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu.
2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo;
a) Watazania wengi hawaupendi Ukweli.
Watanzania wengi hawaupendi Ukweli. Ukiwaambia Ukweli watakuchukia Sana.
Msingi mkuu wa...
Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa.
Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
bei
bei nafuu
gharama
gharama nafuu
hatua
hongera
intaneti
internet
juhudi
kasi
kubwa
kupatikana
mitaani
mkurugenzi
nafuu
pongezi
ttcl
usambazaji
wananchi
watanzania
wengi
Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango cha shahada ya tatu yaani (PhD!) Acheni ujuaji
Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma.
Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa.
Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri.
Siku...
Waziri wa Madini Anthony Mavunde akiwasilisha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 27, 2026 Bungeni Dodoma, amesema:
"Tume ya Madini itaendelea kutekeleza na kuhakikisha kuwa kampuni zinazomiliki leseni za madini zinanunua bidhaa na huduma...
Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA
Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA.
Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA.
Je, ni nani wa...
Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa
Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...
Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.
Kama alitoa ndege...
Wakuu,
Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua
"Nimeacha neno mshikamano. Na hapa ndipo nataka vijana tutafakari. Neno mshikamano. Tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania...
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.
Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika...
Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
Nipo Moshi hapa, jirani yangu mzee Massawe alipoteza mwanae wa kike tena mtoto huyo mmoja tu na jinsia ya kike, akiwa dukani maeneo ya ubungo siku ya October 29.
Wakati inawasilishwa ripoti yeye alienda kwenye kaburi la mwanae na kuanza kulia, Mimi kama jirani niliposikia vilio nilisogea kwake...
Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa.
Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo.
Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.