watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Mayor Quimby

    Watanzania bara hawana udini

    Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. . Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty. Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho. Bara mkristo anajua rafiki yake...
  2. secretarybird

    PostGE2025 Ndoto: Nimeota watanganyika wameandamana kimasihara

    Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre. Ghafla nikaanza kuota...
  3. Rungwe88

    Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  4. Tajiri Tanzanite

    PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  5. Kitimoto

    Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  6. Ex Spy

    Meta watoa ufafanuzi wa maamuzi ya kufuta na kuzuia akaunti za watanzania

    Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the country if Meta refused to block accounts of 3 activists.
  7. Genius Man

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
  8. R

    Watanzania wamesusia hadi matamasha ya wasanii wa Gospel

    Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii
  9. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  10. Genius Man

    Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu

    Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu. Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Niffer: 'Mimi niko vizuri' Mungu awabariki sana wote walionipigania

    Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
  12. The Burning Spear

    Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  13. K

    PostGE2025 Samia kawaondolea Mashaka yote waTanzania juu ya “Mhusika ni Nani?”

    Pasipo shaka yoyote, Samia Suluhu Hassan kawaondlea mashaka waTanzania ni nani mhusika katika matukio mbalimbali ya hovyo yaliyotokea humu nchini tongia aingie madarakani. Pamoja na kwamba akina Mafwele na kikosi chake hawawezi kujivua lawama za kutekeleza unyama wa kuteka, kupoteza na kuua...
  14. M

    Tahadhari kuelekea Disemba 9

    Kuelekea tarehe 9 anza kukusanya mahitaji yako ndani, mlikishwa pewa taarifa muhimu ya kutoa pesa kwenye mabenki na simu muwe na Cash. This is highly likely, kuwa hili jambo la tarehe 9 likienda kama linavotakiwa kwenda, basi historia mpya Tanzania itaandikwa
  15. Ghayo El Yehudi

    Watanzania wanaharakati tulimtukana sana Magufuli na kumdhalilisha sasa Mungu ametupa tunachostahili na tulichotaka

    Haina salamu hiyo. 1. Wanaharati walituaminisha kuwa Magufuli ni zaidi ya Shetani 2. Wanaharakati walituaminisha kuwa Magufuli ndio chanzo Cha matatizo 3. Wanaharakati walituhamasisha Magufuli ni bonge la fisadi . 4. Wanaharakati walisema Magufuli ni muuaji mkubwa katili sana. Magufuli...
  16. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Leo wazi kabisa Samia anajisifia kwa alichokifanya oktoba 29 ilikuwa ni sahihi kwa watanzania

    Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo Disemba 2, 2025 katika mkutano wake na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan emeonyesh wazi kuwa kilichotokea oktoba 29 kilipangwa na serikali na kilikuwa ni sahihi ikiwa ni njia ya kuwazuia wananchi...
  17. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama

    Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
  18. M

    PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  19. Just Pray

    PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  20. Manjagata

    PostGE2025 GEN-Z wamejua kuwatia adabu Watanzania

    Nimechungulia kwenye kusanyiko la Wazee wa Dar es Salaam nimejionea maajabu! Maajabu yote haya ni dhahri Shahri kwamba ni kiboko kilichotolewa na Gen-Z pamoja na kwamba wamewaua lakini WAMEJUA kuiadabisha nchi. Hivi kweli kabisa leo hii CCM kimekuwa Chama cha kujificha? Mkutano mzima ukipata...
Back
Top Bottom