There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote"
Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea.
Faida zake ni chanya na hasi .
Watanzania sasa hivi wamechachamaa hawamtaki Samia, kelele kibao mtandaoni
Lakini ukitazama kwa umakini, Watanzania hii imekuwa ndio tabia yao, wanasema hawamtaki kiongozi ila akindoka wanatamani arudi
Tuliona Kikwete walikuwa wanapiga sana kelele hawamtaki, ila alipoondoka na kuja Magufuli...
Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo.
Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz.
My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale...
Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
Jamani,
Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe
Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi!
Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
Asante kwa 4RS zilizo unganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Asante kwa maendeleo ya uhakika ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa muda mfupi tu.
Pongezi kwa kua champion wa nishati safi ya kupikia na rafiki wa mazingira Africa.
Shukrani kwa kuipa...
Katika kitabu cha Qur'an, aya ya 80, katika Sura ya 20 inasema:
"Enyi Wana wa Israili! Hakika tulikuokoeni na adui yenu, na tukakuahidini upande wa kulia wa mlima. Na tulikuteremshieni Manna na Salwa"
Kwa kiingereza:
O ye Children of Israel! We delivered you from your enemy, and We made a...
Hiki chama kina lundo la watu maslahi ambao kichwani ni weupe kabisa na wakiwa na maslahi yao fiche huwapamba hawa watu kwa nguvu zao zote ili kuwaingiza madarakani kwa manufaa ya kikundi cha wachache.
Utaratibu huu umezalisha unafiki na ujinga wa kushundwa kuhoji mambo ya wazi kabisa. Jambo...
Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali.
Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
Kesi inaendelea mahakani...
Mzee wa kanisa anajitokeza anaongea mengiiii anawapoteza na mnamuamini kisha anapotea ghafla.
Anaibuka balozi mtu ambae amezungukwa na hao watu Kwa Kila analofanya, anapoenda na anaowasiliana nao nawapindua na mdundo mpya🤣🤣🤣 woooooote wanafuata!!
Anaibuka Mzee wa...
Serikali kupitia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 imepanga kuongeza umri wa wastani wa kuishi kwa Watanzania kutoka miaka 68 ya sasa hadi kufikia miaka 75. Lengo hilo linatokana na mikakati ya kuboresha huduma za afya, lishe, usafi wa mazingira na maisha bora kwa wananchi. Kupitia dira hiyo...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt. Fred Msemwa ameeleza ufanisi uliotumika wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Dira ya Taifa 2050, akieleza kuwa walitumia njia shirikishi kufikia wananchi moja kwa moja. Amesema zaidi ya Watanzania milioni 1 walitoa maoni yao ana kwa ana...
DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni
Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu.
Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu?
Halafu nikiwaambia hamna Akili...
Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.