Naona kama kuna idadi kubwa sana ya watanzania wanaopenda vitu hivyo, yaani Udaku (habari za kuhusu mambo ya watu wengine) na Nadharia za Njama (kuwa kuna jambo la njama linafichwa na serikali au taasisi yoyote). Ukitaka kula hela ya watanzania, jikite katika biashara ya kuuza udaku na nadharia...