watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanasiasa nawaonya kwa mara ya kwanza. Hili Taifa ni mali ya watanzania na si mali yenu

    Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu. Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya. Kununua magari yenu pesa zipo...
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda uwasiliane na utoe msaada wa haraka kwa Watanzania waliopo Rubavu eneo linaloathiliwa na volcano ya mlima Nyiragongo

    Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

    Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii...
  4. JamiiForums Tanzania Nani atawasemea watanzania juu ya kadhia mbaya inayokuja kulikumba taifa letu?

    Alikuwepo Dk.Slaa huyu alikuwa na source of info za uhakika na zilikuwa zikimpa pasi mpenyezo lazima aibue madudu ya kifisadi ya uhakika. Ndio maana alikuwa anaishi maisha ya mashaka muda wote kabla hajalala lazima akague kama kuna tape recoder ili kubaini wanaomtrace. Zitto naye kabla...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

    Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19. Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala...
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana 'Herd Immunity' na hali ya hewa (Mazingira) ndio vitu vinavyotuokoa Watanzania dhidi ya COVID-19

    Kwanza niweke wazi kuwa mimi si Daktari na wala sina utaalamu wa magonjwa ya kuambukiz bali nimetumia tu common sense na elimu ya kusoma vyanzo mbalimbali na hatimae ku-arrive at this conclusion: Tuanze kwa kutazama herd immunity ni mini. Herd immunity ni kinga inayotokana na sehemu kubwa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tunajifunza nini kwa yanayoendelea Israel na Gaza?

    - Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake. - Ni tuseme kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na wanasiasa wanafiki, waongo na wanaotumika kucheza na akili zetu kama huyu

    Asubuhi.... "Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata nalipenda vile vile na hiki Cbama sitaki nimuachie kabisa Mtu mwingine " Usiku.... "Nampongeza...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Watanzania naomba mpitie hapa ili Tanzania ipae kiuchumi

    Wakati nipo sekondari nilikuwa natamani niwe sehemu ya watunga sera za nchi au kuwa kiongozi serikalini, na hii ilisababishwa na jinsi nilivyokuwa naona mambo yanavyoendeshwa nchini. Niliona bila kuingia ndani ya siasa siwezi kubadirisha chochote, nitabaki kuwa mtazamaji tu, kama kuna mambo...
  11. JamiiForums Tanzania "Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

    1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa. 2...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

    Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa. Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mitandaoni, kwani watu wa mitandaoni sio Watanzania au hawapaswi kusikilizwa?

    Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa mitaani. Au wanadhani watu wa mitandaoni wanatoka sayari nyigine? Mitandao ni platform sahihi kabisa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

    Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mwisho wa malalamiko ya watanzania. Kila mtanzania kuwa na fursa ya kutoa taarifa kuhusu wapi ahudumiwi vizuri.

    Nimeona Twitter & Instagram. Kama ni kweli mbona walalahoi ama wale wanyonge kama Hayati Magufuli alivyokuwa anawaita wamepata utetezi mubashara. Kuna watu wanamtakia huyu Mama yetu Rais Samia mafanikio mema sana kwenye utawala wake. Wanyonge sasa nao kudemka hahahahahaha! Nenda insta na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi Kwako Rais Samia kwa Kutujua haraka Watanzania na Kucheza vyema na Akili zetu za Kimihemko na Matukio

    Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya. Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo...
  17. JamiiForums Tanzania Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

    Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja. Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini. Akalia...akabembelezwa na kurudi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania hatujui nini tunachotaka au tunafanya maishani

    Watanzania wengi tumekuwa bendera fuata upepo ndio maana misimamo ya kile tunachofanya kuanzia elimu, siasa, sanaa, michezo, maisha, baishara na n.k ni kama tunaangalia au kukipokea kwa haraka wimbi hili. Wanafunzi kwa sababu fulani anasoma PCM na wewe unaenda tu. Wanafunzi wa vyuo nao ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wastaafu kupeana Mahekalu, Mwalimu alisema ipo siku Watanzania watalidai Azimio la Arusha

    Katika kizungumkuti hiki kinachoendelea leo, Wakubwa wanapeana Mahekalu na Mabenzi wakati wanananchi mamilioni kwa mamilioni wanatopea kwenye lindi la umasikini, Imenikumbusha kauli ya mwalimu Nyerere kuwa ipo siku wananchi Watasimama na kulidai tena Azimio la Arusha! Binafsi ninajua kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…