watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  2. Genius Man

    GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  3. Alex khalifa

    Ndugu zangu watanzania, tuwe wavumilivu huyu mama akimaliza muda wake ataondoka, tumwache afanye kazi

    kwa kikwete tumeibiwa sana kama nchi awamu ile ila sasa yupo wapi, hivo ndugu zangu nawaombeni sana tuwe wavumilivu muda wake utaisha tu, kabla huja hamasisha uvunjifu wa amani fikiria watoto, wazee, walemavu nk haya ni maisha tu tutakufa tutayaacha yanini kuumizana? natumaini hata watekwaji...
  4. R

    GE2025 Askofu wa Kanisa la Anglikana, Jacob Kahemele amewasihi Watanzania kupiga kura Oktoba 29, 2025, baada ya hapo watazungumza wanayoona hayako sawa

    Kutoka X: Askofu unakuwaje na mke mtumishi wa umma ? Halafu unaibuka kutetea serikali iliyompa cheo mkeo? Haoni haja ya kukemea utekaji, mauaji and the like, ameona la muhimu ni kupiga kura. Takataka mavi Huyu ana mke na watoto, lazima atetee tumbo la uzao wake. Mtombi tu kama watombi wengine
  5. simplemind

    Timely Reminder Ndugu Watanzania

    The Quote
  6. technically

    Tetesi: Sheli zimezuiwa kuuza Mafuta kwa Watanzania

    Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi. Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika. Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao. Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29? Tuendelee kuwepo...
  7. Godoro la kioo

    Hivi mna uhakika watanzania Oktoba 29 wataandamana?

    Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
  8. H

    Anayepigania waTanzania ni sawa na anayejichoma moto ili kuwaangazia njia vipofu

    N vigeugeu wa kutupa na wanafiki waliopitiliza hasa linapokuja swala la kupigania maslahi ya wote watakuacha uangamie kwa wao kupata na kulidhika na kidogo watakachopewa. Kuwa makini sana nao ikiwezekana ni kuwaacha waangamie ili wajifunze..
  9. Chibike

    GE2025 Mnatutishia watanzania na magari ya kipolisi na kivita, mnataka kumuua nani ama mtaweza kutuua wote ?

    Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+? Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura.. Huu ni uchaguzi ama vita Free Polepole Free Heche Free Mdude
  10. Hidden Diamond

    GE2025 Watanzania msifanywe wajinga shtukeni

    Maandamano yanayotaka kufanyika sio ya Mange Kimambi, CHADEMA, Kigogo, Sativa wala Recho Dangwa bali maandamano haya ni kwa ajili ya kuweka sawa baadhi ya mambo kwenye nchi yetu ambayo kuna baadhi ya watu wachache wanaona wenyewe ndo Wana haki pekee ya kufanya Jambo lolote ambalo wanajisikia...
  11. M

    Bandika kwenye hiki kichwa vitu ambavyo watanzania hufikiria

  12. albab

    Heche na watanzania yanayotokea sio bahati mbaya

    Salaam... Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29 Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
  13. Munch wa Annabelle

    Ukitaka kujua watanzania wengi hawana akili tumia Simba na Yanga tu utapata majibu

    Unakuta mtu ni shabiki wa mpira lakini huo mpira wenyewe anaoshabikia haujui. Timu yake ya ulaya inafungwa hadi goli nne tano wengne had sita lkn anasema huo ndo mpira Lakn ikitoa sare tu timu yake ya uku matopen utasikia kocha mbovu afukuzwe halafu huyo huyo mudq wote anamsifia arteta Timu...
  14. M

    Hivi kuna stage ngumu kwa mfanyabiashara kuzidi kujikubali umefirisika au biashara imeshuka inabidi urudi chini kuanza upya badala ya kufosi?

    Kuna hatua katika mzunguko wa biashara ambapo hali ya mauzo hushuka kwa kiasi kikubwa, huenda kutokana na ushindani mkali sokoni, mabadiliko ya mahitaji ya wateja au hata kushuka kwa nguvu ya soko kwa ujumla. Katika baadhi ya matukio, hali hii inaweza kupelekea kufilisika kabisa, hasa pale...
  15. Mhaya

    Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

    Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania
  16. The Palm Beach

    Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  17. digba sowey

    Je polisi wanatoa wapi nguvu ya kututisha watanganyika ikiwa polisi Mmoja anahudumia wananchi 1,300 tofauti na kiwango vya umoja wa mataifa

    Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango...
  18. Mto wa mbu

    Watanzania kushambulia page za white house na Trump sio jambo zuri

    TCRA wanamuandama sana Mange kimambi. Uchafu wa serikali anaopost badala ya serikali kuufanyia kazi ,TCRA wabapambana account ya Mange kufutwa. Mange ameamua kumobilize followers wake kushambulia page za white house na za Rais Trump uko Instagram. Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye...
  19. funaku

    Umoja wa Watanzania -Sir Juma Nature

    Msikie Juma Nature hapa
  20. JanguKamaJangu

    GE2025 Gerson Msigwa: Watanzania wangekuwa hawataki kushiriki Uchaguzi 2025 wasingejitokeza kwenye kampeni

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025; Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi? Siamini kama Wananchi...
Back
Top Bottom