watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitimoto

    GE2025 Kiongozi Asiyekemea Utekaji na Kupora Demokrasia ni Shetani wa Dunia

    Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
  2. Genius Man

    Watanzania wenzangu, msiponiona tena online mjue nimejitoa maisha yangu kwa watanzania. Tukutane tarehe 29. Hakuna kurudi nyuma

    Watanzania wenzangu msipo niona tena online ujue nimejitoa maisha yangu kwa watanzania tukane tarehe 29 hakuna kurudi nyuma.
  3. Magufuli 05

    GE2025 Makonda ni jitu la hovyo, watanzania mkataeni

    Ameshiba mihogo. Leo anasema Magufuli ni kaka yake. Wewe makonda ni wakumuita magufuli kaka Yako kweli? Unakumbuka alivyokusitahi kama mwanae. Unakumbuka alivyokuunganisha wewe na Ruge kule chongoleani Tanga kwa kuwaita wewe na Ruge ni wanaye. Leo unamuita kaka Yako eti. Tafadhali usimtumie...
  4. Madwari Madwari

    Sisi watanzania kuwafikia wakenya kwenye kujitafuta bado sana

    Hii video ikionyesha wakenya wakiwa katika vita vya Ukraine na Urusi
  5. Idugunde

    Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

    Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya. Kapotea Ben Saanane wapo kimya. Kapotea Azory Gwanda wapo kimya. Orodha ni ndefu sana.... Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
  6. The Burning Spear

    Watanzania Mnapowalilia wazungu Mnataka wao ndo waje Waandamane kwa shida zenu na Viongozi wenu wa Hovyo

    GT Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?. Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko kutimiza wajibu ila ukweli ni kwamba kama ninyi watanganyika hamtakuwa tayari kuamua hatma ya nchi yenu...
  7. comrade_kipepe

    Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

    Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma! Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
  8. Genius Man

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  9. M

    GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
  10. M

    JK kipenzi cha Watanzania aliyegeuka Chukizo mbele yao

    Nchi hii imewahi kuwa na makundi makuu mawili ya watu waliopendwa sana na Watanzania, Nyerere, JK na Magufuli. kundi la pili ni la Mrema na Lowasa. Nyerere alipendwa sana sababu ya kupigania uhuru, kutumia vipawa vyake vya akili na uongozi kwa ajili yao. Huyu alifanya makosa kadhaa ya...
  11. H

    Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  12. SSH2025_2030

    Watanzania tuache uvivu na wivu

    1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu). 2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa. #OktobaTunatiki. NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
  13. R

    Dr. Chris Mauki: Tunaweza kuikomboa Tanzania pasipo damu ya Mtu kumwagika, Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
  14. Tajiri Tanzanite

    Nasikia mwenge ndio mzimu unaowafanya watanzania tusiwe na ummoja wakati za hatari

    Hapo vip! Hapa nina imani kuna kwa ukweli fulani hivi!! Hivi ni umuhimu wa kufukuzana na moto nchi nzima. Kuna wazee walinieleza yakwamba hili ni tambiko la hatari mno. Ndio maana mtu mjinga au mpumbavu mpumbavu anaweza kufanya jambo lolote akaangaliwa kwa uwogo na hofu kubwa.
  15. Lamomy

    Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

    Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu? Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila tunateswa na UNAFIKI. Ukitaka kujua mtaani tunapoishi umeme ukatike, cha kwanza ni kuchungulia kama...
  16. Abraham Lincolnn

    JWTZ vyombo vya ulinzi na usalama waliokula kiapo kulinda usalama na kutetea watanzania viko wapi wakati huu watu wanatekwa na kuuawa?

    Haya majeshi sijui yaliundwa kwa ajiki ya kuitetea CCM na kuilinda serikali? Wametekwa watu mchana kweupe, Mzee Ally Kibao, na sasa Humphrey Polepole, kisa wamezungumza na wametoa maoni yao ya wazi na yenye nia njema na nchi, ila wanatekwa na majeshi yetu yapo tu! Kazi yao kufanya jogging na...
  17. Lord Denning

    Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  18. ngara23

    Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  19. M

    GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  20. Carlos The Jackal

    JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
Back
Top Bottom