watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    GE2025 Watanzania Wameshinda na wamekataa Kuliangamiza Taifa Lao

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa letu,wamekataa kuigeuza Tanzania kuwa Gaza, Wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa fujo,wamekataa kuifanya...
  2. technically

    GE2025 Kuanzia Sasa hakuna tena dharau kwa Watanzania

    Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa . Iwe kwenye huduma au siasa au chochote. Kuanzia Leo uchawa utakoma Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua. Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena. Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo...
  3. sumu-ya-panya

    Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  4. figganigga

    Kama Polisi hawahusiki na mauaji, sasa kwanini hawaokoti miili ya Watanzania waipeleke Mochwari? Imezagaa mitaani

    Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
  5. DuaZaMama

    Watanzania tumfanyaje huyu dada?😆

    Hongera sasa Kwa Watanzania.
  6. M

    Mauaji ya watanzania wasio na hatia

    Baadhi ya video zipo Instagram https://www.instagram.com/samia_muuaji?igsh=MWRzaGxjMDU3YW9sbw==
  7. B

    Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

    01 November 2025 SIKU YA 4 : MAANDAMANO UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu. Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
  8. thegreat1510

    GE2025 Hapa MUHIMBILI, Miili inayoletwa ni mingi mno, watanzania wengi sana wanauawa

    Nipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno. Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa. Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine...
  9. N

    GE2025 VIDEO: Al-Jazeera yaungana na Watanzania kupaza vilio vyao ulimwenguni

  10. M

    Miundombinu ni ya thamani kuliko uhai wa watanzania

    Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma. Hii haikubali. -Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu. -Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...
  11. figganigga

    GE2025 Hongereni Watanzania, tumejikomboa tayari🎉🎉

    Haikuwa kazi ndogo.. Waliokufa kwenye maandamano, majina yaa yaandikwe kwa Wino wa dhahabu. CCM wametepeta. Viongozi wametepeta. Mafisadi wanatetemeke. Sasa Tanzania ni iyenaiyena... 🎉🎉🎉
  12. M

    Kura za Maruhani zikitengenezwa. Jaji Mwambegele, hiki ndo mnawatangazia watanzania?

    Nilikuwa namheshimu sana Jaji huyu, lakini ndo anabariki hiki?
  13. Sam pizzo

    Watanzania tuamke, tuachane na Katiba ya Ujamaa (Socialism)

    Katiba ya CCM ni ya kizamani (ujamaa) na ndio inatuchelewesha kuendelea kwa spidi kama nchi.Ukitembea nchi za wengine imekua ni aibu kwa mtanzania,achilia mbali kutawaliwa na mwanamke maana hata kwenye Imani zetu dini zinasema mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Rasilimali zinaliwa na...
  14. Agent-47

    Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  15. britanicca

    GE2025 Big up watanzania! Usiku huu tuelekee hapa

    Twende Gogoni usiku huu Twende alipo Lissu Nyumba ya Mafwele Nyumbani kwa Muliro Tumechoka! Tunataka mateka wote wakiwa live Britanicca
  16. Genius Man

    watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu

    watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu
  17. Genius Man

    Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi

    Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi
  18. Roving Journalist

    GE2025 Mkoa wa Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni Jimbo la Kinondoni Jimbo la...
  19. Dennis Robert Shughuru

    GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  20. Hance Mtanashati

    Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
Back
Top Bottom