watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Kwahiyo Mzee Butiku , Kwa Maoni yako unayohisi yana Busara, nini Hatima ya Watanzania kuanzia 2026 ikiwa Samia ataendelea?.

    Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?. Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
  2. Genius Man

    Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi

    Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
  3. S

    Aisee!! Maandamano ya 29.10.2025, mambo ni moto. Hongera kwa wapigania haki

    Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana. Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma. Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
  4. Luca Paguro

    Tiktok kwa moto huko, hivi wale ni Watanzania wenzetu kweli maana sio poa

    Wadau, Watanzania wamechoka na huu utawala. Yani Tiktok ni mtandao ambao wabongo wameu criticise sana ila kwa sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kutokuwa na vijana waoga Nyie, kumbe ukiwa unakaribia kupata uhuru ndo unajisikia raha hivi, hamna siku nimefurahi kama leo 😂😂😂 Hebu angalieni hii...
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  6. Hance Mtanashati

    Natabiri machafuko yataendelea tena na tena. Watanzania wameshapata starting point

    Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi. Kiuhalisia tunaweza kusema sasa wameshaanza kuzibuka masikio maana ilikuwa kila wakiambiwa wanatia pamba...
  7. H

    Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  9. W

    Nilidhani Watanzania tuna shida ila una huko Uganda kampeni za Museveni

    Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
  10. Titicomb

    SamakiSamaki, DagaaDagaa, KukuKuku: Watanzania siyo wabunifu wa biashara

    Amekuja mgeni amebuni biashara nzuri na kuita SAMAKI SAMAKI. Watanzania kwa kukosa ubunifu wakaenda kuiga mara DagaaDagaa na wengine KukuKuku!! Tatizo wengi walioiga hawajui biashara siyo jina pekee bali ubora wa huduma. Ukiiga ongeza ubunifu kidogo. Mchina bingwa wa kuiga. Tofauti yake na...
  11. H

    Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  12. K

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  13. Richard

    GE2025 Je, watanzania wale wanojiandaa kupiga kura ni wale ambao hawana cha kupoteza? Na ni kwanini wafanye hivyo?

    Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania. Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
  14. The Burning Spear

    Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

    GT Ni aibu kuitwa Mtanzania. The reference kwamba binadamu walikuwa Nyani nadhani ilichukuiiwa Tanzania.
  15. Nipe Maji

    SI KWELI Askofu Gwajima amesema leo Septemba 27, 2025 atatoa ushauri watanzania kushiriki uchaguzi Oktoba 29

  16. Mad Max

    Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  17. L

    GE2025 Rais Samia amefanyika Baraka kwa Watanzania na kugusa maisha ya watu na ndio maana watu wanafurika na kumiminika Kwenye mikutano yake

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu Wa Nchi Au waweza kusema Rais ana nafasi kubwa sana katika ukuaji wa uchumi wa Nchi na ustawi wa watu wake. Rais anayo nafasi ya kuwafanya watu kuwa na amani ,furaha na tabasamu ama kuwafanya watu kuishi kwa hofu ,vinyongo ,hasira na hata chuki kwa serikali yao na...
  18. M

    GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

    Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
  19. S

    GE2025 Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95

    Haya ni maoni yangu: Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano. Kwa Tanzania yetu hii...
  20. M

    GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
Back
Top Bottom