Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,702
Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya
•tuache matendo mabaya,
•tulipe Kodi,
•tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI
•tuache uchonganishi na upotoshaji,
• tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu,
• tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa hadi Taifa kwasababu hii ni ibada pia, na Mungu anatwambia mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.
Tuache dhambi, dhambi inaua, tukatubu, tuzilinde roho zetu kuliko kitu chochote kwasababu kwenye roho ndiko zitokako chemichemi za uhai.
Moderators wa jamiiforum Happy Christmas 🎄 day