watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania wamemtupa Rose Muhando porini, ameokotwa na Wakenya

    Hakuna shaka kwamba msanii nguli wa nyimbo za injili, Rose Muhando, ndiye malkia na gwiji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki na Kati. Msaanii huyu alianza kuvuma kwa muda mrefu sana na kiwango chake kimebakia juu pamoja na kwamba umri wake kwa sasa umesogea. Album kali kabisa ya Rose Muhando...
  2. Watanzania tumpigie kura Diamond kijana wetu

    Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení. Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
  3. P

    Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  4. Kisa cha mtu aliyebeba punda na Watanzania

    Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti wakisema; ''ninyi watu hamuoni ya kuwa mnamuumiza punda huyo iweje ninyi wote wawili mumpande punda mmoja...
  5. Charles Mwijage: Watanzania hawataki uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine

    Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi...
  6. Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

    Waswahili wenzangu huwa wanapenda kusema kizuri kula na nduguyo. Najua wengi tu wanapenda kuishi Europe, pengine sio kwa sababu ya ugumu Sana uliopo bongo Bali ni sababu ya maisha ya huku yalivyo. Nitaongelea zaidi Norway kwa kuwa ndio nipo. Kwanza kabisa ugumu upo popote pale hivyo usije...
  7. Watanzania kushangilia Teuzi za viongozi

    Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi. Bado najiuliza sana,hizi teuzi teuzi zinakuaga na jipya gani zaidi ya taratibu tu za uongozi? Binafsi...
  8. Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

    Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
  9. Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Wanabodi, Nawaomba Sana na kuwasihi Watanzania wenzangu tuitunze na kuienzi tunu yetu ya taifa inayoakisi malezi na maadili yetu ya kitanzania ambayo Ni heshima na uungwana kwa binadamu wenzetu. Hivi karibuni kuna magenge yanazuka mitandaoni yakimkosoa Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  10. CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi

    CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi. 1) Rais alishinda Uchaguzi 2020 kwa 84.4% haijawahi kutokea. 2) Wabunge na madiwani wote walishida Uchaguzi 2020 isipokuwa wachache na haijawahi tokea mpaka kuchukua jimbo la Mbowe. 3) Uchaguzi wa serikali za mitaa CCM ilishida na...
  11. Wanasiasa nawaonya kwa mara ya kwanza. Hili Taifa ni mali ya watanzania na si mali yenu

    Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu. Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya. Kununua magari yenu pesa zipo...
  12. Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda uwasiliane na utoe msaada wa haraka kwa Watanzania waliopo Rubavu eneo linaloathiliwa na volcano ya mlima Nyiragongo

    Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
  13. Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

    Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii...
  14. Nani atawasemea watanzania juu ya kadhia mbaya inayokuja kulikumba taifa letu?

    Alikuwepo Dk.Slaa huyu alikuwa na source of info za uhakika na zilikuwa zikimpa pasi mpenyezo lazima aibue madudu ya kifisadi ya uhakika. Ndio maana alikuwa anaishi maisha ya mashaka muda wote kabla hajalala lazima akague kama kuna tape recoder ili kubaini wanaomtrace. Zitto naye kabla...
  15. Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

    Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19. Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala...
  16. TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  17. S

    Inawezekana 'Herd Immunity' na hali ya hewa (Mazingira) ndio vitu vinavyotuokoa Watanzania dhidi ya COVID-19

    Kwanza niweke wazi kuwa mimi si Daktari na wala sina utaalamu wa magonjwa ya kuambukiz bali nimetumia tu common sense na elimu ya kusoma vyanzo mbalimbali na hatimae ku-arrive at this conclusion: Tuanze kwa kutazama herd immunity ni mini. Herd immunity ni kinga inayotokana na sehemu kubwa ya...
  18. Watanzania tunajifunza nini kwa yanayoendelea Israel na Gaza?

    - Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake. - Ni tuseme kwamba...
  19. Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na wanasiasa wanafiki, waongo na wanaotumika kucheza na akili zetu kama huyu

    Asubuhi.... "Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata nalipenda vile vile na hiki Cbama sitaki nimuachie kabisa Mtu mwingine " Usiku.... "Nampongeza...
  20. Rais Samia na Watanzania naomba mpitie hapa ili Tanzania ipae kiuchumi

    Wakati nipo sekondari nilikuwa natamani niwe sehemu ya watunga sera za nchi au kuwa kiongozi serikalini, na hii ilisababishwa na jinsi nilivyokuwa naona mambo yanavyoendeshwa nchini. Niliona bila kuingia ndani ya siasa siwezi kubadirisha chochote, nitabaki kuwa mtazamaji tu, kama kuna mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…