Kuna tanuru la laana lazima Watanzania tupite ndio tuokolewe

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Miongo yangu miwili na kidogo nilioishi hapa duniani inatosha kabisaa kujua nani mkweli nani muongo nani mjanja mjanja nani yupo serious nani mjinga nani ana akili nani mbishi tu wa kubisha bila hoja nani ana hoja nani fata upepo nani anachambua jambo kabla ya kuliongea.

Nakumbuka niliwahi kumkatalia mwalimu jibu lake nikiwa o_ levo jibua ambalo darasa nzima walilikubali mimi pekeangu nikanyooosha mkono mbali na kwamba nilikua muoga sana zamani lakini haikua sababu ya kukubaliana nilinyoosha mkono nikamwambia mwalimu hapana hilo sio jibu, mwalimu pale pale akafungua elfu 10 na kunipa akasema huyu pekee ndio mwanafunzi makini darasani na pekee kapata usiogope kua tofauti ogopa kua na wazo la kuaminishwa na wengine wewe ni wewe ulimbwa pekeako una akili ya kufafanua jambo acha kufuata upepo.

Awamu tatu ambazo mapaka sasa nimezishuhudia kwa makini nikiwa na akili timamu zimenifunza mengi kuhusu binaadamu na hili likanifanya niende Library nikatafute kitabu kinachoelezea asili ya mwanaandamu na tabia zake na maisha THE PURPOSE DRIVEN LIFE kilichoandikwa na Rick Warren moja ya mapastor wa kuheshimika sana kule Marekani nikagundua sis woote ni binaadam hivo basi tuna dhambi ya asili sasa kama tuna dhambi ya asili sio rahisi sisi kujua nani mwema nani sio mwema kwasababu tu wadhambi na kwasababu tu wadhambi na mawazo yetu lazima yatakua ya hovyo sana inabidi uwe na nguvu za Mungu kutambua wema dhahiri wa mtu na ubaya. Ndio maana yesu alisema yeyote ambaye hatozaliwa upya asahau kuiona mbingu

Zimepita awamu 3 kwa macho yangu ya kawaida na akili zangu nimeona siwez kuongelea awamu mbili za mwanzo au tatu kwasababu sikua na akili timamu kivile lakini wamu hizi 3 nimeshuhudia uongozi mmoja ambao umetukuka unaendesha nchi kwa nguvu za Mungu, mbali na makosa machache yaliopo nyuma ya kibinaandam lakini hayaonsoi mazuri mengi yaligofanyika sehemu yeyote ile ambapo Mungu anatajwa sana amani lazima iwepo mahali hapo na kama mtu yule alikua na haki basi haki yake au damu yake haiwezi kwenda buure.

Dhihaki ya Watanzania kwa uongozi ule uliotamka neno MUNGU mara nyingi zaidi kama haukutendewa haki damu yake lazima tuinywe sisi watanzania kwanza ndipo Mungu atuoneshe njia sahihi

Naamini MUNGU wetu ni wetu sote lazima ataonesha tofauti hata kwa wale waliojivika upofu wasielewe amini nawaambieni.

KUNA WATU MPO NAO DUNIANI SIO WA DUNIA HIO NI WA MBINGUNI mane haya yako kwenye biblia.

20210909_065309.jpg
 
Hizi threads za aina hii zimekuwa nyingi sana katika kipindi hiki kifupi.

Kuna nini kinaendelea?
Naona wote mnaoleta mada bado mnashindwa kufunguka kwa uwazi.
 
Miongo yangu miwili na kidogo nilioishi hapa duniani inatosha kabisaa kujua nani mkweli nani muongo nani mjanja mjanja nani yupo serious nani mjinga nani ana akili nani mbishi tu wa kubisha bila hoja nani ana hoja nani fata upepo nani anachambua jambo kabla ya kuliongea,

Nakumbuka niliwahi kumkatalia mwalimu jibu lake nikiwa o_ levo jibua ambalo darasa nzima walilikubali mimi pekeangu nikanyooosha mkono mbali na kwamba nilikua muoga sana zamani lakini haikua sababu ya kukubaliana nilinyoosha mkono nikamwambia mwalimu hapana hilo sio jibu, mwalimu pale pale akafungua elfu 10 na kunipa akasema huyu pekee ndio mwanafunzi makini darasani na pekee kapata usiogope kua tofauti ogopa kua na wazo la kuaminishwa na wengine wewe ni wewe ulimbwa pekeako una akili ya kufafanua jambo acha kufuata upepo.

Awamu tatu ambazo mapaka sasa nimezishuhudia kwa makini nikiwa na akili timamu zimenifunza mengi kuhusu binaadamu na hili likanifanya niende Library nikatafute kitabu kinachoelezea asili ya mwanaandamu na tabia zake na maisha THE PURPOSE DRIVEN LIFE kilichoandikwa na Rick Warren moja ya mapastor wa kuheshimika sana kule Marekani nikagundua sis woote ni binaadam hivo basi tuna dhambi ya asili sasa kama tuna dhambi ya asili sio rahisi sisi kujua nani mwema nani sio mwema kwasababu tu wadhambi na kwasababu tu wadhambi na mawazo yetu lazima yatakua ya hovyo sana inabidi uwe na nguvu za Mungu kutambua wema dhahiri wa mtu na ubaya. Ndio maana yesu alisema yeyote ambaye hatozaliwa upya asahau kuiona mbingu

Zimepita awamu 3 kwa macho yangu ya kawaida na akili zangu nimeona siwez kuongelea awamu mbili za mwanzo au tatu kwasababu sikua na akili timamu kivile lakini wamu hizi 3 nimeshuhudia uongozi mmoja ambao umetukuka unaendesha nchi kwa nguvu za Mungu, mbali na makosa machache yaliopo nyuma ya kibinaandam lakini hayaonsoi mazuri mengi yaligofanyika sehemu yeyote ile ambapo Mungu anatajwa sana amani lazima iwepo mahali hapo na kama mtu yule alikua na haki basi haki yake au damu yake haiwezi kwenda buure.

Dhihaki ya watanzania kwa uongozi ule uliotamka neno MUNGU mara nyingi zaidi kama haukutendewa haki damu yake lazima tuinywe sisi watanzania kwanza ndipo Mungu atuoneshe njia sahihi

Naamini MUNGU wetu ni wetu sote lazima ataonesha tofauti hata kwa wale waliojivika upofu wasielewe amini nawaambieni.

KUNA WATU MPO NAO DUNIANI SIO WA DUNIA HIO NI WA MBINGUNI mane haya yako kwenye biblia.

Ni kwer mkuu na Yule mtu alikuwa akitamka maneno makali Sana mfano ,1.Tumtangulize Mungu 2.ipo siku mtanikumbka na Nina uhakika mtanikumbka Kwa mazuri wala siyo Kwa mabaya 3 .hivi nikiondoka hii mirad itajengwa 4 .binadamu mna Tabia ya kumukumbuka MTU Akisha kufa na Nk ,ukichakata Kwa umakini utagundua kuna Jambo na Siri kubwa aliijua. Kwa hiyo lazima tupate pigo takatifu then tutaendelea kibaya zaid ( JPM na SSM hawakuwa 1 team .so kila mmoja Kwa imaani yake tusali Sana lakin MDA utatuambia
 
Amin nakwambia

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni "secular state" yani taifa lisilo na dini. Haya mnayoandika hapa ni porojo tupu zisizo na mashiko.
Ni kwer mkuu na Yule mtu alikuwa akitamka maneno makali Sana mfano ,1.Tumtangulize Mungu 2.ipo siku mtanikumbka na Nina uhakika mtanikumbka Kwa mazuri wala siyo Kwa mabaya 3 .hivi nikiondoka hii mirad itajengwa 4 .binadamu mna Tabia ya kumukumbuka MTU Akisha kufa na Nk ,ukichakata Kwa umakini utagundua kuna Jambo na Siri kubwa aliijua. Kwa hiyo lazima tupate pigo takatifu then tutaendelea kibaya zaid ( JPM na SSM hawakuwa 1 team .so kila mmoja Kwa imaani yake tusali Sana lakin MDA utatuambia
 
Kuna watanzania wengi hawatendewi haki kwa miongo kadhaa, kama ni laana kutokana na kutotendea wengine haki zitakuwa hazijaanza leo, jana wala juzi.
Miongo yangu miwili na kidogo nilioishi hapa duniani inatosha kabisaa kujua nani mkweli nani muongo nani mjanja mjanja nani yupo serious nani mjinga nani ana akili nani mbishi tu wa kubisha bila hoja nani ana hoja nani fata upepo nani anachambua jambo kabla ya kuliongea.

Nakumbuka niliwahi kumkatalia mwalimu jibu lake nikiwa o_ levo jibua ambalo darasa nzima walilikubali mimi pekeangu nikanyooosha mkono mbali na kwamba nilikua muoga sana zamani lakini haikua sababu ya kukubaliana nilinyoosha mkono nikamwambia mwalimu hapana hilo sio jibu, mwalimu pale pale akafungua elfu 10 na kunipa akasema huyu pekee ndio mwanafunzi makini darasani na pekee kapata usiogope kua tofauti ogopa kua na wazo la kuaminishwa na wengine wewe ni wewe ulimbwa pekeako una akili ya kufafanua jambo acha kufuata upepo.

Awamu tatu ambazo mapaka sasa nimezishuhudia kwa makini nikiwa na akili timamu zimenifunza mengi kuhusu binaadamu na hili likanifanya niende Library nikatafute kitabu kinachoelezea asili ya mwanaandamu na tabia zake na maisha THE PURPOSE DRIVEN LIFE kilichoandikwa na Rick Warren moja ya mapastor wa kuheshimika sana kule Marekani nikagundua sis woote ni binaadam hivo basi tuna dhambi ya asili sasa kama tuna dhambi ya asili sio rahisi sisi kujua nani mwema nani sio mwema kwasababu tu wadhambi na kwasababu tu wadhambi na mawazo yetu lazima yatakua ya hovyo sana inabidi uwe na nguvu za Mungu kutambua wema dhahiri wa mtu na ubaya. Ndio maana yesu alisema yeyote ambaye hatozaliwa upya asahau kuiona mbingu

Zimepita awamu 3 kwa macho yangu ya kawaida na akili zangu nimeona siwez kuongelea awamu mbili za mwanzo au tatu kwasababu sikua na akili timamu kivile lakini wamu hizi 3 nimeshuhudia uongozi mmoja ambao umetukuka unaendesha nchi kwa nguvu za Mungu, mbali na makosa machache yaliopo nyuma ya kibinaandam lakini hayaonsoi mazuri mengi yaligofanyika sehemu yeyote ile ambapo Mungu anatajwa sana amani lazima iwepo mahali hapo na kama mtu yule alikua na haki basi haki yake au damu yake haiwezi kwenda buure.

Dhihaki ya Watanzania kwa uongozi ule uliotamka neno MUNGU mara nyingi zaidi kama haukutendewa haki damu yake lazima tuinywe sisi watanzania kwanza ndipo Mungu atuoneshe njia sahihi

Naamini MUNGU wetu ni wetu sote lazima ataonesha tofauti hata kwa wale waliojivika upofu wasielewe amini nawaambieni.

KUNA WATU MPO NAO DUNIANI SIO WA DUNIA HIO NI WA MBINGUNI mane haya yako kwenye biblia.

Hakuna kitu Kama hicho wewe
Acha kujipa stress this is Afrika
Na hii ni Moja ya failed state hakuna Cha nani Wala Cha nani wote kenge tu huo ndio ukweli mchungu
Tushafeli Toka mwanzo watu waliojifanya kuzipigania nchi zao kuwaondoa wakoloni baada ya uhuru wakaingiwa na tamaa mbaya,choyo,ubinafsi,ulaghai,
umungu mtu,roho mbaya,udikteta nk
Ikapelekea kukosa dira na misingi thabiti Kama taifa na hii ikapelekea nchi nyingi hapa Afrika ikiwemo na hii yetu kuwa hapa tulipo na huu ni mwendelezo tu tatizo kubwa ni
Elimu! Elimu!Elimu!
 
Back
Top Bottom