watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

    Hii iwafikie viongozi wetu, Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa. Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters. Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko. Kapicha haka hapa.
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wanaoishi Ukraine wazungumza kuhusu hali ya hofu iliopo

    Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo. Vladimir Putin alitangaza...
  3. JamiiForums Tanzania CCM inawakosea sana Watanzania

    Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa mbalimbali serikalini. Kimsingi lengo au dhumuni lolote la kuanzishwa chama chochote cha siasa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  5. JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  6. JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    =========================== Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia. Vita...
  7. JamiiForums Tanzania Fursa za ufadhili kwa Watanzania nchi za Mauritania na Urusi

    Fursa za ufadhili kwa Watanzania Mauritania na Urusi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Watanzania wengi hawafahamu matumizi ya smartphone kiasi cha bando kutafunwa bila kutambua?

    Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya? Bando zinayeyuka kama barafu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ijue ukweli CCM haina 100% ya Watanzania

    Nimekuwa nikifuatilia serikali hata wakati wa Magufuli . Tatizo moja ni serikali ya Tanzania imejiaminisha kwamba wana support ya 100% ya Watanzania. Tatizo ni moja tu huwezi kuyeyusha 30%-40% ambayo hao CCM wamesema wapinzani wamepata kura. Yaani pamoja wa wizi wote wa 2020 hakuna mtu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona tunakosa mwelekeo? Mabaya tunalalamika, mazuri tunaponda. Sasa tufanyiwe nini?

    Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
  11. JamiiForums Tanzania Zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kujitibu

    KAIMU Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Dk. Caroline Damiani, amesema, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kwa ajili ya kujitibu magonjwa mbalimbali kabla ya kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya au baada ya kupata huduma katika vituo vya kutolea huduma za...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

    Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara baina yetu inapaa kweli kweli, ujinga na utoto wa kuchomeana vifaranga umesahaulika... Hapa Kenya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu kukutana na Tundu Lissu. Watanzania hatutaki uadui unaosababishwa na wanasiasa wabinafsi wachache

    Nimefurahishwa na taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kupitia Afisa habari wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kwamba Mh. Rais wa JMT, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwa ktk ziara ya kiserikali nchini Ubelgiji amekutana na Mwanasheria, mwanaharakati, mwanasiasa machachari na makamu...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar. Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilishe mitazamo ya kutaka kufanya sherehe kubwa za gharama

    Kumezuka tabia ya kuendekeza starehe na sherehe kubwa za harusi kwa kutegemea michango ya watu, tatizo linakuja unapotaka kila mtu akuchangie ilimradi unamfahamu au Mtumishi katika taasisi moja, inakera sana michango inakuwa nongwa, msg mara simu mara nini nini? Mara umeadiwa kwenye group bila...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilishe mitazamo yetu ya kunyanyapaa wanyama, nao wana haki ya kuthaminiwa

    Ni kawaida sana kwa hapa nchini wanyama kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, n.k na hii iaonekana kawaida sana, hata kesi yake faini ni laki moja ama kifungo cha mwezi. Hawa wanyama nao ni viumbe kama sisi licha ya tofauti tulizonazo lakini nao wana hisia, nao wanasikia maumivu, hawapendi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa neema kwa Watanzania

    Na Mwl Udadis Moja ya mambo yanayomfanya Rais Samia Suluhu kuwa kati ya viongozi wenye ushawishi mkubwa ni uwezo wake kiuongozi. Katika kipindi kifupi ameweza kuimarisha Diplomasia na kurejesha hadhi ya Tanzania kimataifa. Mpaka sasa haya ni baadhi ya mambo yaliyofanyika katika ziara yake...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…