watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  2. B

    JamiiForums Tanzania Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

    27 May 2022 UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa New York Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Wanaukumbi. Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa. Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi. CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini. Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania na Matumizi Potofu ya Dhana Jumlishi (Generalization)

    Kwa tafsiri isiyo rasmi. Dhana jumlishi (Generalization) ni kitendo cha kuhusisha watu au vitu vyote na jambo au hali fulani. Dhana hii jumlishi (generalization) imekuwa ikitumiwa kimakosa na baadhi ya Watanzania, wanapokuwa wanaelezea jambo fulani ambalo limetokea ngazi ya jamii, taifa au...
  5. JamiiForums Tanzania Siku 1: Watanzania Waangukia Pua kwenye Mashindano ya EAAR, Dar

    Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar. Matokeo yanaonyesha Ethiopia na kenya ndizo zinashikilia usukani kwa siku ya kwanza (Jana), Leo...
  6. JamiiForums Tanzania Wanasayansi Watanzania waliofanya makubwa

    Batholomeo Mpemba ni mmoja ya wanasayansi wanaotambilika Dunia Kwanian kwa theory yake ya MPEMBA EFFECT katika utawala wa mwalim Nyerere. Taja Watanzania wengine kama wapo.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli. Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa Waziri Mbarawa kutumia muda mwingi kuelezea mradi ambao watanzania hawautaki

    Jana wakati waziri wa ujenzi na uchukuzi anahitimisha hoja zake kimsing iangetueleza mpango wa kujenga barabara kuunganisha wilaya zetu na mikoa kuliko kuelezea mradi wa SGR. Huu mradi ni wazi watanzania wengi hawajaufurahia kwani hauwagusi watanzania wengi unapitia sehemu chache sana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

    Wanaukumbi. Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani? Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu. Chama masikini viongozi wa juu matajiri. Tena hapo mtaa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania hatujaielewa siasa?

    "Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha Kali, Uhasama wa Kiitikadi ndio Upinzani Hasa, Kumbe Siasa Yenyewe Inasura nyingi, inarangi nyingi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

    Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Kuna Haja ya Kutunga Sera ya CSR za Makampuni ili Ziwe Endelevu? Serikali Yaipongeza TotalEnergies Kwa CSR Endelevu Kuwajengea Uwezo Watanzania

    Wanabodi, Japo nchi yetu ni masikini, nchi wafadhili wa maendeleo waliokuwa wanatusaidia kwa misaada mbalimbali, wao ndio huamua wasaidie nini. Enzi za Mwalimu Nyerere, kuna wakati tulikosana na wafadhali kutokana na kupewa misaada yenye masharti, hivyo Nyerere akakataa, Mwinyi alipoingia...
  14. JamiiForums Tanzania Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

    Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
  16. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

    Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi? Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov...
  17. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya Pesa zetu zilizotafunwa na zinazotafunwa na Hawa wabunge 19? Watanzania tumefanywa wajinga kiasi hiki?

    Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ? Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni . Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania 29% ya Watanzania hawamudu kununua mchele

    Taarifa ya NBS iliyokusanya takwimu za kuanzia Februari 2021 hadi Machi 2021 zimeonesha baadhi ya watanzania wanakosa kumudu huduma muhimu kama Huduma za Afya na Chakula. Katika vyakula, ikiwemo mchele, mahindi na unga wa mahindi zimeonesha mchele unatumika na 55% ya watanzania huku 29% wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)  Salaam Mhe Waziri! Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…