Wanasayansi Watanzania waliofanya makubwa

Mar 23, 2022
11
7
Batholomeo Mpemba ni mmoja ya wanasayansi wanaotambilika Dunia Kwanian kwa theory yake ya MPEMBA EFFECT katika utawala wa mwalim Nyerere.

Taja Watanzania wengine kama wapo.
 
Attachments

  • Mpemba Effect (Does hot water freeze faster than cold water) (1080p).mp4
    88.3 MB
Mijitu ya Tanzania imeejaa NONGWA na roho mbaya sana........mfano ushuru WA magari......yanatutangazia kuna meli inaleta magari mengi ........SASA shoboka kwenda kununua ndio utajua maana ya ushuru.......yaani kitu linakaza kwenye Kodi kama litapewa tuzo vile ......kumbe hamna lolote......
 
Kweli mkuu, ushuru kama vile kununua gari ni kitu haramu
 
Mbemba alianza na kufanya utafiti ndio akayakua hayo ambayo WAZUNGU hawakuyajua huyo ajagundua kaboresha TU teknolojia ambayo ilikuwa tayari .kama Masudi kipanja na gari la umeme c kitu kipya Rwanda aloxha Unda na kutumia mda mrefu
 
Back
Top Bottom