watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, nawasalimu

    Habari zenu wakuu mliomo jamiiforum, members wa wazamani na wa sasa pia, natumaini mpo salama wote, ALHAMDULILAH, ni jambo la kushukuru. Sina mengi, nimekuja kuwasalimu! NAWAPENDENI SANA ENYI WATANZANIA WENZANGU, NA WASIO WATANZANIA PIA NAWAPENDENI SANA, WOOTE NAWAPENDENI. Bhujiku ng'waka!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

    Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu zitakazosaidia Watanzania kuifahamu lugha ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote ya Kigeni kwa urahisi

    Wanafunzi wakijifunza lugha ya kigeni | picha na mtandao UTANGULIZI Lugha ya kigeni niile lugha ambayo haipatikani katika jamii ya mjifunzaji na kuwa hawezi kujifunza lugha hiyo bila kufundisha. Niukweli usiopingika kuwa na ufahamu wa lugha nyinginezo za kigeni zaidi ya Ile lugha yako Kuna...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuijua kesho ya Watanzania wasikilize viongozi wake, unaweza kulia

    Hii ndio Tanzania unayo ijuwa Hayati baba wa Taifa huko kaburini ana wish afufuke aje awachape viboko. Taifa alilo lijenga na kuweka misingi yake limetumbukia zama mpya zama zinatisha kuliko zama za ukoloni. Mwalimu ktk moja ya hotuba zake kuna wakati alilisema hili nadhani watu wachache sana...
  6. JamiiForums Tanzania CCM: Majizi Msimchukulie poa Rais Samia

    Na Romana Mallya CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mtu ambaye hatakiwi kufanyiwa masihara wala mzaha katika kulinda rasilimali za nchi hii ni Rais Samia Suluhu Hassan,Wale wanaomchukulia ‘poa’ wajaribu waone, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

    Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
  9. JamiiForums Tanzania Wakongo na Watanzania tuna asili moja?

    Hivi sisi Wakongo na Watanzania hua tuna asili moja au? Yaani mkongo kama mimi hivi Nikiwa safarini nikikutana na raia wa INCH nyingine tofauti na Tanzania hua nahisi mwili wangu una kabaridi fulani hata kama tunaongea lugha moja utakuta sina shauku kabisa ya kuona nipo na mwenzangu. Na hata...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  11. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu apiga marufuku kulazimisha watu kuchanja, Watanzania waliochanja wamefika milioni 8.5

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameendelea kupiga marufuku tabia za Watoa huduma kulazimisha wananchi wanaoenda kupata huduma za afya kulazimishwa kuchanja, ameeleza kuwa tabia hiyo ni kinyume cha miongozo na maadili ya taaluma za Watoa huduma. Ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kujitokeza...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

    Heri ya sikukuu ya sabasaba. Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia mbali perfume. Jana nilikua kwenye misongamano ya watu sehemu mbili tofauti katika jiji la Dar es...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana waliopo Tanzania wanashangilia ubabe wa Putin

    Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania uwezo wao ni kuzungumza watu sio masuala muhimu, tatizo ni nini?

    Ukifuatilia kwa makini mijadala ya vijana wengi kwenye majukwaa makubwa hasa siasa utagundua kuna kitu hakipo sawa ( something amiss ). Katika hali isiyo ya kawaida maoni mengi yamejikita sana kuzungumzia watu badala ya masuala muhimu yanayopaswa kuwekwa wazi. Tatizo hili limezaa machawa...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania waishio Rio de Janeiro

    Habari za Jioni ndugu zangu FB Ngoja niende moja Kwa moja kwenye point, wiki iliyopitaa nimeweza pata kufka kwenye Jiji maarufu huku Latin America la Rio de Janeiro. Niko kikaz kidogo ila nitataman kukutana na watanzania waishio katika jiji hili tupge story mbili tatu na kufahamiana zaidi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache sifa za kuomba upendeleo

    Imekuwa kawaida kila Mhe. Waziri, Mhe. Mbunge, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya na hata Mkurugugenzi na mtu wa kawaida kusifu hata asijue anasifia nini. Kuna mapungufu sana katika sekta zinazohudumia watu lakini haya hayasemwi isipokuwa sifa. Mfano hai ni sekta ya afya. Hakuna matibabu ya bure...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania ndivyo tulivyo

    Nawasalimu wana jukwaa! Nchi yetu ya Tanzania siyo ndogo kwa eneo wala idadi ya watu, napotumia neno watanzania kama ilivyo mazoea (japo si sahihi) ninaangazia zaidi wale walionizunguka. Kwangu watanzania ni ndugu zangu, majirani, niliosoma nao na ninaoendelea kukutana nao katika shughuli za...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyekataliwa na Watanzania kisa majungu yao, aukwaa Ukurungenzi Uganda

    Haya makampuni ya kigeni huhitaji akili kubwa kwenye uongozi, hutumia vigezo vingi sana wakati wanamtunuku mtu yeyote ukurungenzi au uongozi wowote, na sio ajabu wakakosa wa kumuajiri kwenye nchi yenu yote hata kama mpo milioni mia huko. Huyu dada, Watanzania walimkataa kisa eti haiwezekani kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sisty Nyahoza, kwanini unawafanyia mtimanyongo Umoja Party? Hujui kuwa watanzania wanahitaji ukombozi?

    Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM? Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa. Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga shangilieni na muungane na watanzania kufurahia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa!

    Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…