watalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Mamlaka ya Ngorongoro badilisheli hili kwa Watalii

    Ili mgeni aweze kulala ndani ya eneo (mbuga) ya Ngorongoro kuna ada ya Serikali anatakiwa kulipa ambayo huitwa Camping fees (GRR). Wanachofanya mamlaka ya Ngorongoro; Mgeni hata kama amelipia camping fees ya siku tano; akishindwa kuingia Ngorongoro kwa siku ya kwanza; mfano akaja siku ya pili...
  2. H

    TANAPA wanajua moto unaowaka Serengeti unafukuza watalii?

    Kunachangamoto ya moto imekuwepo Serengeti mwezi wote wa sita na sasa hivi inaendelea hasa maeneo ya North(Kogatende) wakati huu ambapo ndio msimu wa utalii upo juu (peak) Tunajua huwa TANAPA wanachoma kila mwaka mwezi wa tatu hadi wa tano ila baada ya mvua kuendelea hadi msimu wa utalii...
  3. P

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kuandaa watalii nje ya Tanzania

    Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi nzuri na kusambazwa kwenye shule za msingi, upili na vyuo katika bara la Ulaya, Amerika na Asia. JE...
  4. Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  5. Kama asili ya Wazanzibari ni bara, kwa nini wasihamishiwe huku bara kwenye maeneo ya wazi kupisha watalii

    Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache). Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa. Nashauri...
  6. Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    Top most visited African countries by Tourists 1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors 2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors 3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors 4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors 5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors 6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮 7) - Uganda 🇺🇬 8)- Kenya 🇰🇪 9)-...
  7. Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  8. M

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema...
  9. TANAPA: Idadi ya Watalii nchini imeongezeka kutoka 997, 873 hadi kufikia 1,670,437 (2021/2022 hadi 2022/2023)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limefanikiwa kuongeza mapato katika kipindi cha miaka mitatu kutoka shilingi 174,715,158,494 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia shilingi 337,424,076,896 kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023. Akizungumza Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam katika...
  10. Ninampango wa kufungua kampuni ya uongozaji wa watalii ndani ya Tanzania

    Post closed
  11. Tato waunga mkono jeshi la polisi usalama kwa watalii

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea Kushirikiana na wadau wa Utalii ili kuweka mazingira bora ya usalama barabarani ambayo yatawashawishi watalii wa ndani na wale wanaotoka barani Afrika na Ulaya kuongezeka kwa wingi na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini huku...
  12. Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, Yapewa Kongole Kuhamasisha Utalii Kulikopelekea Kuongezeka Watalii Wanaotembelea Tanzania

    Wanabodi, Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000 mpaka watalii 1,806,000, kati ya Desemba 2022 na Desemba 2023, ongezeko ambalo limechangiwa, Pamoja na...
  13. Filamu ya Royal tour yaongeza Watalii TAWA, Yatekeleza Miradi 6 kwa upande wa Elimu

    TAWA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS SAMIA WILAYANI SERENGETI, YAGUSA MAISHA YA WANANCHI - DKT. VINCENT MASHINJI Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa...
  14. Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  15. Kwanini watalii wa China wameacha kutalii nchi za Magharibi?

    Hivi karibuni, Shirika la habari la Marekani Bloomberg lilitoa ripoti yenye kichwa kinachosema “China imesababisha hasara ya dola bilioni 130 za Kimarekani kwa sekta ya utalii duniani.” Ripoti hiyo inadai kuwa, ikiwa kundi kubwa zaidi la watalii duniani, watalii wa China sasa hawaonekani tena...
  16. Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  17. Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

    Wanaukumbi. 🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship. =============== 🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii. Wageni wanaonekana wakicheza...
  18. Uganda Charges Militia Chief Over Tourist Murders

    Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month. A commander in the Allied Democratic Forces (ADF) militia, Abdul Rashid Kyoto, alias Njovu, was captured earlier this month...
  19. Tanzania yanadi Vivutio vyake kwa watalii na wawekezaji mahiri duniani

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewahakikishia kundi maalum la wawekezaji na watalii mahiri duniani zaidi ya 150 kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani lililowasili nchini Novemba 4,2023 kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana nao kikamilifu katika jitihada...
  20. Yafichuka: Jinsi Tanzania ilivyotia saini mkataba kichaa na kampuni ya siri kuendesha uwanja mkuu wa watalii nchini (KIA)

    Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inayomilikiwa na Serikali (TAA) kesho, lakini walengwa halisi wa KADCO, kampuni iliyoendesha uwanja huo kwa miaka 25 na kukusanya mabilioni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…