watalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Treni yenye Watalii 60 yatoka Afrika Kusini hadi Tanzania

    TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini. Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
  2. BARD AI

    Abiria waliokuwa kwenye Nyambizi ya Titan wakitalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wafariki dunia

    Kampuni ya OceanGate inayohusika na huduma za uwezeshaji na ukodishaji wa Nyambizi (Submarine) kwaajili ya shughuli za wa utalii, viwanda, utafiti na ugunduzi imesema hadi sasa inaamini kuwa abiria waliokuwa ndani ya Titan wamepoteza maisha. hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku 4 zimepita tangu...
  3. Nyendo

    Boti yenye watalii yawaka moto Baharini

    Waokoaji Nchini Misri wanawatafuta Watalii watatu wa Uingereza ambao hawajulikani walipo baada ya moto kuzuka kwenye Boti waliyokuwa wakisafiria baharini nchini Misri jana Jumapili. Vyombo vya habari vya Misri vimesema Boti hiyo ya Watalii ilikuwa imebeba jumla ya Watu 27 huku miongoni mwao ni...
  4. Stephano Mgendanyi

    Wasafiri Wanaotumia Njia za Mbuga za Wanyama Wasihesabiwe kama Watalii

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema Wizara isiwahesabie abiria kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine kwa kupitia njia zilizopo kwenye Mbuga za Wanyama kama Watalii wa ndani kwani hawaigizi fedha za...
  5. B

    Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  6. L

    Watalii kutoka China wahimiza maendeleo ya sekta ya utalii Tanzania

    Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
  7. TODAYS

    Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

    Ijue story ilipoanzia 👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
  8. TODAYS

    Muombee Adui Yako Njaa; Maandamano Yanayoendelea Kenya Yawafurusha Watalii 800 na Kukimbilia Tanzania.

    Mzee RAO anamuangamiza kiuchumi Rais Ruto na makamu wake Gachagua kupitia maandamano. Meli ya kitalii iitwayo MV Seabourn Sojourn, iliyopo njiani kwenda nchi mbalimbali duniani, ambapo kwa afrika mashariki ilikuwa isimame kwa siku 6 kwenye bandari ya Mombasa, sasa imebadiri uelekeo hadi...
  9. BARD AI

    Idadi ya Watalii wanaoingia Zanzibar yaporomoka

    Idadi ya watalii walioingia Zanzibar imeshuka kwa asilimia 4.9 kwa mwezi Februari 2023 kutoka wageni 68,813 mwezi Januari 2023 hadi wageni 65,430 Febuari 2023, huku Bara la Ulaya likiongoza kwa uingizaji wa wageni hao. AZAM TV
  10. BARD AI

    Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  11. M

    Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach jirani na kunduchi beach tunapoteza watalii

    Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach iliyopo karibu na kunduchi beach matukio ya wizi hasa maeneo ya beach yamekuwa ni kama jambo la kawaida, siku ya leo nikiwa katika fukwe za beach jiranj kabisa na beach ya kunduchi kuna eneo linaitwa silver beach pia kuna hotel inaitwa silver...
  12. BARD AI

    Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
  13. Escrowseal1

    Hizi ndio hoja zangu kwenye sakata la ndege inayotajwa kubeba watalii

    Wadau wa utalii wamejitahidi sana kutetea hoja ya matumizi ya raslimali za nchi. Hoja zangu ni hivi, inatia moyo kuona wananchi wako macho juu ya rasilimali za Taifa tofauti na huko nyuma. 1. Kila mtanzania anajua kuwa baadhi ya viongozi walishawahi jihusisha na usafirishaji wa wanyama hasa...
  14. Papasa

    Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

    Mbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa === "Wananchi waelewe kuwa ndege ile sio mara ya kwanza kutua kwenye uwanja wa KIA, ilishatua huko nyuma, nilivyoona ile taarifa mitandaoni nilishanga sana kwa sababu hawa...
  15. The Sunk Cost Fallacy 2

    Royal Tour yajibu! Ndani ya miezi 11 tu watalii waliotembelea Tanzania wafikia milioni 1.2

    Hongera na kazi wadau. Nitumie fursa hii kueleza habari njema za Royal Tour. Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000). Hizi Ni habari njema zikizoletwa na Royal tour na bila shaka Hadi Mwisho wa mwezi wa 12 Idadi ya...
  16. Logikos

    Watalii, Wawekezaji, na Miradi Vyote Juu

    Hizo ndio Kauli nazisikia wadau wakiniambia.... Mapato, na Mikopo navyo tunapata, yaani mambo yapo sawa sawia... LAKINI najiuliza hizo Pesa zote za hao watalii, mikopo na Tozo tunazopata kwanini sioni maendeleo kitaa sambamba na hizo neema tunazopata ? Ni wapi panavuja ? Kama Royal Tour...
  17. Jemima Mrembo

    Safari yetu wana JamiiForums Udzungwa Mountains National Park, Mwanihana Peak na Sanje Waterfalls

    Noela Shoo ni binti mdogo kwa umbo lakini she is so tough in action. Wadada na wamama Tunaopenda hiking tumekuwa tukiongozwa mara nyingi na wanaume, na kama ujuavyo changamoto zinazokabili mbuga na hifadhi zetu, vyoo ni mpaka ukute camp, kwa hiyo ukiwa njiani huwi comfortable sana. This...
  18. Suzy Elias

    Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

    Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?! Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa. Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
  19. Suzy Elias

    DOKEZO Watalii walalamikia huduma mbovu za Idara ya Uhamiaji KIA

    Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania. Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia sana! Mipakani kwa mfano unakuta Afisa hayupo dirishani na yupo pembeni akiperuzi simu yake huku...
  20. BigTall

    Waziri wa Utalii ashauri bandari ya Dar, Zanzibar ziboreshe huduma ili kuongeza watalii

    Ushauri umetolewa kwa mamkala za bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar kuzingatia ubora wa huduma wanazotoa ili kutengeneza mazingira mazuri ya utalii kwa kuwa kufanya hivyo kutaongeza soko la tasnia hiyo pamoja na kuongeza kipato kwa watu binafsi na Serikali kwa jumla. Ushauri huo umetolewa na...
Back
Top Bottom