matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,164
- 16,956
Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache).
Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa.
Nashauri asilimia kubwa ya wazanzibari warudishwe kwao bara kwenye maeneo yenye neema wachache wabaki kusuport shughuli za kitalii na Kisiwa kile kigeuzwe kuwa chanzo cha mapato tu kama kile cha Mbudya au saa nane maana ni maarufu sana duniani.
Kama Tanganyika ilivyoyeyuka na Zanzibar iyeyushiwe tubaki na na Tanzania ambayo ukimuona mpemba uwe kama umemuona yuleyule mnyamwezi kabla hajavushwa bahari enzi hizo.