wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

    Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu". Hivi, ni namba za simu au namba ya simu? Cc macho_mdiliko, min -me .
  2. JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  3. JamiiForums Tanzania Naulizia zilipo Ofisi za Baraza la Wataalamu wa Kemia (Chemist Professionals’ Council)

    Habari wana JamiiForums, Naomba msaada kufahamu zilipo ofisi za Baraza la Wataalamu wa Kemia Tanzania (Chemist Professionals’ Council). Nahitaji kujisajili kama Registered Chemist. Kama kuna mtu mwenye anwani ya ofisi za Chemist Professionals’ Council nahitaji msaada. Nimejaribu kuangalia...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa pikipiki

    Campuni gani ya pikipiki yenye muundo wa kisasa cc 125 yenye mfumo wa push rod kwenye injini yake badala ya timing chain
  5. JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa Uchumi

    Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu...
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

    Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles. Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.? Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, mabomba ya maji safi yanayopita mitaroni hayahatarishi afya ya wananchi, hasa ikitokea yamepasuka mtaroni? Wataalamu watuelimishe

    Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu hii nayo ni kanzu ⁉️

    N.B Huyu ni nani huko dar?! Naona yupo main table na bosi kusaga
  12. JamiiForums Tanzania HATUA MPYA YA UDOM NA TUME YA TEHAMA KUANDAA WATAALAMU MAHIRI

    Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameendesha programu maalum ya uhamasishaji kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Tehama, ikiwa ni sehemu ya kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wa usajili wa kitaaluma kwa wataalamu wa Teknolojia ya Habari na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wataalamu wa Maabala tuliofanya Mitihani ya Leseni mwezi Machi tunaumizwa na Ucheleweshwaji wa Matokeo, HLPC KULIKONI?

    Sisi wataalamu wa maabara(certificate hadi degree) nchini Tanzania ambao tulifanya Mtihani wa Leseni kuanzia march 15 hadi april 01(certificate hadi degree) tumecheleweshewa kupewa matokeo kwa zaidi ya miezi miwili sasa, hali ambayo inatukosesha fursa nyingi ikiwemo ajira zinazotangazwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Solar: Je, seti za bei rahisi za "Camping" (Aliexpress) zinafaa kweli nyumbani? 🤔

    Habari za jioni wana-jamvi (au habari za muda huu), Katika kipindi hiki ambacho gharama za umeme na changamoto za kukatika kwa nishati zinazidi kuongezeka, nimeona vijana na akina baba wengi kwenye mitandao wakikimbilia kununua zile seti za solar za bei nafuu sana kutoka AliExpress (zile...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake. Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi. Pascal Mayalla
  16. JamiiForums Tanzania 🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika!

    💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧 🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika! 📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima 🔥 OFA YA MSIMU: PUNGUZO LA DHAMANA! 🔥 Tunakuzawadia TANK LA MAJI LA LITA 5,000 BURE! 🎁💦 Chukua hatua sasa! Kwa kila mradi wa kisima tutakaofanya...
  17. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunazalisha Wataalamu wa Famasi Halafu Tunawanyima Mitaji Wakati Tunatumia Mabilioni Kuagiza Dawa

    Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini. Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dangote: Kiwanda tunachotaka kina uwezo wa kuzalisha pipa 650,000 kwa siku, bado timu ya Wataalamu inafanya utafiti wapi patafaa

    Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza baada ya Mkutano na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam leo Mei 16...
  20. JamiiForums Tanzania 🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika!

    💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧 🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika! 📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima 🔍 HYDROGEOLOGICAL SURVEY (Utafiti wa Kisayansi wa Maji Ardhini) Hatuchimbi kiholela — tunafanya utafiti kwanza! 📍 DSM & Pwani: TSh 300,000/= 📍 Mikoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…