Naombeni kujua haya mambo
1. Ajira za utumishi wanavyosema kucertify vyeti ndo uombe ajira, je zile transcripts ambazo zinaambatana na vyeti vya chuo nazo zinatakiwa kuwa certified Au ni cheti tu?
2. Kwasasa kupata mhuri wa mahakama au mwanasheria ina range kwenye kiasi gani cha pesa?
3...
Ni hivi kuna binti wa kaka wamekuwa na tofauti na mme wake kwa muda.hii imepelekea wakaenda kwa balozi kwa usuluhishi ila bado mme hakuridhia ,mme akatupigia simu sisi wazazi nikawaita kuwashauri ,kwa kumwambia hizi tabia ndogondogo ni sababu ya mimba hivyo vumilia na binti tukamkanya basi...
Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile
===
Katika Kongamano la wanavyuo mkoa wa Dar es Salaam wameungana na kudai Wakili kutoka Kenya Martha...
KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Upo kwenye Vita.
Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde;
1. Nguvu kazi(jeshi)
Jeshi ni wewe Mwenyewe!
2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita.
Hapa...
Katika jamii nyingi, hasa zile zenye utamaduni wa kuheshimu elimu na shahada, wasomi mara nyingi huamini kuwa akili na maarifa yao ndiyo msingi wa mafanikio.
Wamejifunza kwa bidii, wakapata vyeti, na sasa wanahisi maisha yanapaswa kuwazawadia kwa sababu ya "kujua zaidi." Lakini ukweli wa maisha...
Salaam,
Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika.
Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
Inaonekana na inataka kuzoeleka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio.
Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na...
Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali.
Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali.
Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia kumpoteza Baba Mzee Patrick Qorro miaka kadhaa iliyopita.
Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Profesa...
Listen up, vijana wa Bongo:
Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama:
"Yo, I been grindin’ since day uno, no cap."
"I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho."
"Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
Listen up, vijana wa Bongo:
Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama:
"Yo, I been grindin’ since day uno, no cap."
"I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho."
"Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali
Utangulizi
Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo.
Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri.
Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
Katika kujenga hoja yangu naomba nitoe mfano mdogo. Juzi Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitoa tamko la kuifuta Chadema katika uchaguzi. Tume hiyo inaongozwa na wanasheria na wataalamu mbalimbali.
Mbali na maelezo ya Dkt. Nshala ambaye ni Chadema, ukisikiliza mawakili mbalimbali waliohojiwa...
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
Maisha hayana formula, Maisha ni mchakato na mafanikio ni pale bahati inapokutana na michakato na mapambano yako kujumlisha na pale utakapokuwa sehemu sahihi ambayo mwanga wa bahati utakapo pita ukumilke wewe.
Mimi nafikiri unapoipata bahati ya mafanikio kitakacho fata ni wewe kuwa humble, sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.