Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla?
Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye...
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo.
Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku.
Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko...
Machozi, majuto na kuchanganyikiwa kwa wasomi wanaomaliza vyuoni kukosa kazi mtaani. Ndoto zao kuishia kuwa simulizi ndani ya nafsi zao ni msiba mkubwa kwa Taifa letu. Ni wakati sasa wa nchi kujipanga upya. Badala ya kushusha kila mwaka kontena la wasomi wasio na pakwenda, nchi itafakari...
Ukienda kwenye balozi nyingi wamejaa wanzanziibari. Kwa kusingizia dini wamejazwa kwenye nchi zote za Gulf. Wapo balozi zote za Ulaya na Marekani.
Wabara wamajaa balozi za Africa na nchi masikini. Hapa siongelei mabalozi bali wafanyakazi wa balozi. Kuna wakurugenzi, wakuu wa wilaya , mikoa...
Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya kuisaidia jamii inayowazunguka kupitia ujuzi/elimu waliyonayo.
Sasa kama msomi hawezi kuitumia elimu...
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.
In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .
Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Tukisoma mambo ya hesabu agano la kale tunapata kuona Mungu alimjia Musa mlima sinai na akamweleza aende kuwakomboa wa misri kistarabu tuu pia tukija kuangalia Luke 26 malaika Gabriel alimtokea mwanamwali bikira mariam kistrabu na akamwambia utazaa mtoto utamwita Yesu ajabu sasa aliemtokea mtume...
Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali ya kihistoria, ni deliberate neglect. Ni uhalifu wa kitaifa dhidi ya akili za watu wake.
Kwa mujibu...
Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa.
Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA.
Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa!
Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata.
Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanazidi kunoga, mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu, Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea...
Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki...
22 June 2025
Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
Kutiki October 2025
No Reforms No Election
Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
Bunge la Dodoma lamulikwa
Umuhimu wa elimu...
Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia
Katika jamii nyingi, wasomi hutegemewa kuwa mstari wa mbele katika kuendeleza demokrasia, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali. Hata hivyo, hali ya mambo nchini Tanzania inaonyesha kuwa sehemu ya wasomi wanachangia kudidimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.