Wasiwasi kwenye mapenzi ni Muhimu mno

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
126
250
Habari wana JF,

Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake hamuami sijui kila mara kwa mara anamuuliza uko wapi, na vitu kama hivyo.

Binafsi hili naliona ni jambo jema ingawa linatakiwa liwe na kiasi, na sio kutokuwepo kabisa, wasiwasi unafanya mahusiano yawe active flani hivi, assume wale ambao wapo kwenye mahusiano ambayo yaan huulizwi uko wapy, hata ukirud nyumban saa 6 usiku mkeo hakuulizi, jambo hili taratibu utaanza kuona kama vile hupendwi, hajali chochote nk. Hivyo wasiwasi juu ya mwenza wako ni muhimu mnoo, kuliko unavyofikiri ingawa inahitajika uwe na kiasi chake sio ule wa kukera.

Hivyo ukiona unauulizwa ulizwa na mwenzi wako usiumie sana ndio uhai wa mahusiano yenyewe.
Ww una maoni yapi juu ya hili?

Uzi nawasilisha...
 
tapatalk_-1921078660.jpg
 
Back
Top Bottom