Baada ya Buyobe na wasiwasi pia Bagonza

Baada ya Buyobe na wasiwasi pia Bagonza

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,274
Reaction score
5,203
Baada ya Fortunatus Buyobe kuanikwa nina hofu na wasiwasi pia na askofu Bagonza.

In your life don't trust anyone even your own shadow you'll survive. Always seek divine guidance.

adriz de mbusii
 
Bado kuna gape kubwa kwenye hii ishu

Tatizo la mtandao wa X hua unalipuka kutokana na wingi wa harakati baada ya muda ukweli unaanza kuibuliwa upya.

X sio pa kupaamini ndani ya siku mbili na ukahitimishia jambo patakuaibisha
 
Ni wakati wa CHADEMA kuhakiki wale viongozi wao na wanaharakati wake wale wamchongo kutoka CCM waanikwe adharani na matukio yao pamoja na kufukuzwa uanachama

Reform ianze ndani ya chama, intelijensia na usalama wa chama, viongoz, wanachama muhimu kwa kupeana mbinu na taarifa dhidi ya wapinzani wao
 
Back
Top Bottom