wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

    Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar. Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa. Twenzetu China 😎
  2. T

    JamiiForums Tanzania Katunga: Nina mpango wa kumfungulia kesi wasira ya uhaini

    Wasira kama tundu lisu.. anaweza kufunguliwa kesi kwa kutamka au kusema 1. Jamii haiji kuwa na usawa wakati napambana ikifika wakati wangu kuongoza nitaleta usawa 2. Kuvunja Muungano https://youtu.be/0BKTICQ09lA?si=_xfRQtJTXPiyGXhz
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

    Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo. Hizi akili zimejaa kimazoea sana. Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; huu udongo wa Wasira na Warioba sio wa Dunia hii!!

    Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa akili......nikifika 60 sijui kama nitamkumbuka hata jina. Nikija kwa Wasira, huyu mzee ndo ananichanganya...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kauli za Wasira zimethibitisha kuwa CCM haitaki maridhiano

    Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Kutafakari Hali ya Siasa nchini uliofanyika Dar es Salaam jana, Septemba 8, 2026, ulikuwa na matarajio ya kuwa jukwaa la kutafuta majibu ya mgogoro wa kisiasa unaoikabili Tanzania. Lakini badala ya kuibua picha ya chama tawala kilicho tayari kusikiliza hoja za...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Nawapa pole wale wanaodhani hawana Uhuru wa kuongea, 2010 mambo yalikuwa magumu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema: "Nia ni kuleta maridhiano, na kuhakikisha Watanzania wana maridhiano...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa, CCM si Malaika

    Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema "Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo...
  8. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili John Heche na Tundu Lissu wamuunge mkono Wasira

    Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili kupambana uhalifu kwanini kesi hiyo iishe kwa maridhiano kati wa mtuhumiwa na serikali?. Hakuna...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM Itahakikisha Uchumi Wa Tanzania Unaendelea Kuwa Imara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM inalenga kuhakikisha uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia saba ifikapo mwaka 2030, huku ukichochea ongezeko la kipato na kuboresha maisha ya wananchi. Wasira amesema hayo leo (Agosti 21,2026) wakati...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wasira asema: Hatutamsamehe Lisu kesi itaendelea: logical deduction ni ipi? Msikilize Heche hàpa chini

    Hatitamsamehe Lisu, kesi itaendelea Kwahiyo nani anaudhibiti wa kesi?
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira ataka WANA CCM wakutane, wasiingie mkenge wa maneno ya Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka kupotoswa na taarifa zisizo na ukweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza leo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV "CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM anaweza kukutwa, na hiyo sio CCM. CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia. Lakini mwana-CCM mmoja...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Heche ni mmoja tu lakini Wasira Kenani na hapi waingia studio kumjibu

    Niliwaambia Heche kashindikana baada ya interview clouds maCCM wanapigana vikubo kujibu mapigo. Haha ahanah a da huyu jamaa anawalaza na viatu asiee. .
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche amjibu Paul Chacha: Kusema Wasira amezeeka ndio kumtukana?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amekausha kumtukana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira aliposema kuwa amezeeka. Soma zaidi: Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"? Ameyasema hayo Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira awahurumia CHADEMA na kuwaasa wananchi cha kufanya ili wapate maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini. Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka amshukia Wasira: "Kumshauri Rais kuangalia upya kesi ya Lissu, sio kuiamuru Mahakama"

    Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa Rais hawezi kuingilia au kutafuta ufumbuzi wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kwa sababu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Kuna watu wanasema wanataka Katiba ya Warioba. Warioba hana katiba

    Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna Katiba ya Jaji Warioba bali Tume hiyo iliundwa kwa aajili ya kukusanya maoni tu. "Tume ya Jaji Warioba ilikuwa haiandiki katiba...
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM Hatujachoka, Mabadiliko Hayaletwi na Miaka

    DAKIKA 45, ITV "CCM hatujachoka, tumechoka na nini?" Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: Serikali yetu ni halali kwa sababu imechaguliwa na wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Nephew Wasira akizungumza katika mahojiano na TBC leo
Back
Top Bottom