wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Wasira akonga nyoyo za wananchi Kigoma mjini

    WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano. Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kutatua changamoto za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuagiza chama kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kuhakikisha changamoto za wananchi zinashughulikiwa ipasavyo. Wasira amesema katika kuelekea uchaguzi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Panga pangua CCM: Dkt. Migiro kung'atuka, Wasira naye kuondoka

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa zinaeleza. Mbali ya Dk Asha-Rose, taarifa zinaeleza kuwa Makamu Mwenyekiti, Stephen Wasira huenda...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kambarage Wasira akiomba kura kwa wabunge kumchagua kuwakilisha katika Bunge la EALA

    Kambarage Masatu Wasira akiomba kupigiwa kura za ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Mei 4, 2026 Bungeni Dodoma
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tumepewa ridhaa ya Wananchi kuongoza dola

    Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Stephen Wasira amekanusha chama hicho kutumia vyombo vya Dola kujinufaisha kisiasa. Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na UTV.
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Kulikuwa na mfumo 'kompyuta mpakato' wa kuchukua Takwimu za kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, Akifanya Mahojiano na BBC Aprili 24, 2026
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania MPYA Stephen wasira :maridhiano ni lazima, bila hivyo kuna watu watakaa jela milele

    Kwa sasa kuna chapisho linalosambaa kwenye mtandao wa Facebook likiwa na nukuu inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira, akisema kuwa “maridhiano ni lazima, bila hivyo kuna watu watakaa jela milele.” Chapisho hilo limewekwa katika baadhi ya makundi ya Facebook. Je, kuna...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Nyerere alikuwa Mtetezi wa Wanawake, aliandika Kitabu Hakijachapishwa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea wanawake ingawa kitabu hicho hakijachapishwa hadi amefariki. Wasira ameyasema hayo leo Februari...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira: Waliochoma moto Ofisi ya chama Oktoba 29, walijua wanaichoma CCM, CCM huwezi kuichoma, haichomeki

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za CCM Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika na vurugu za Oktoba 29, 2025. Aidha, alionya tabia...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tuna matatizo ya kupata mbadala

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala "CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: Uchaguzi ni gharama na gharama yake nyingine ni hasira tu, ukishindwa unakasirika sana

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka viongozi na makada wa chama hicho kuachana na vinyongo na hasira iliyosababishwa na uchaguzi mkuu uliopita na badala yake waunganishe nguvu katika kuijenga nchi. Wasira amesisitiza kuwa viongozi wanaoomba kuchaguliwa katika nyadhifa za...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira amtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa, Februari 18, 2026

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hatukuunda tume ya jaji Chende ikaichunguze serikali, uwajibikaji hauwezi kuwa mikononi mwa serikali pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amepuuza madai kuwa Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman inaweza kuwa na upendeleo kwa Serikali, akifafanua kuwa lengo la tume hiyo si "kuichunguza serikali" bali ni kuchimbua chanzo cha ghasia zilizotokea wakati na...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania MSUTI wa katibu mkuu wa MAKAMU wa Rais kama wa Mzee wasira

    Mzee mbona MSUTI ni oversize?
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  18. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31 Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya kuchomewa nyumba yake kwenye MO29, Wasira Sasa kawa na adabu

    Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu. Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira. Kwa aibu serikali na chama walijitahidii Sana hii habari isivume kwenye social network. Baada ya kibanda chake...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Nchimbi and Rose Migiro. CCM inakufa, huyu atarudi kwao na kuwaachia mfu. Mshaurini mema na si kujikomba

    Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu. Mshaurini ukweli na utawaweka huru! Nyote watatu semeni Amen.
Back
Top Bottom