wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Chamoto

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: CCM Wanamuona Wasira kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka

    Ustaadhi kagongelea hapo kwamba CCM ya wanamuona Wasira ndio damu yao inayochemka. Wanamuona kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka. Hawezi kwenda na kasi ya kizazi cha sasa. Ndio maana kila akisimama jukwaani, anaongea Pumba. Mzee anajua neno moja tu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Taifa halijagawanyika, anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika

    Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Kwa sasa ni Rais Samia, atakayekuja baada yake Mungu ndiye atakayeamua

    Wasira: Kwa sasa ni Dk Samia, atakayekuja baada yake Mungu ndiye atakayeamua.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Dkt. Samia anachaguliwa kutokana na uwezo wa kazi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu. Amesema...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wasira amesema 'hapa Tanzania kwaka huu CCM inaogopa CHADEMA, inawakamata ili ishinde uchaguzi'

  6. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira aliyetumikia toka enzi za Mwl. Nyerere Hadi Samia anamshangaa Mpina wa miaka 20

    Hii ni maajabu. Wakati Mzee wasira anayasema haya kwamba anamshangaa Mpina kulalamika kukatwa wakati ametumikia Jimbo la kisesa kwa miaka 20 hivyo muda ulifika aachie wengine. Na Cha kushangaza waliokuwepo kwenye huo mkutano walipiga makofi. Niliwashangaa ni vipi walishindwa kujiuliza kwamba...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

    https://vm.tiktok.com/ZMAMVeYBo/
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hata wapinzani wanakiri sisi ni wakubwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka minne na nusu ya uongozi wake. Akizungumza Septemba 1,2025 katika...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Tusahau mchakato wa Uchaguzi, sasa tuungane kusaka Dola

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena. Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
  11. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Nakuonea Huruma Mzee wasira

    Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wasira aeleza jinsi wanavyoiba kura

    Huu umekua utamaduni sasa katika chaguzi kuu Wanaamua kuongeza kura za watu wafu ili kukamilisha kusudi lao Chanzo: Starnews
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Mitambo iko sawa, Kampeni rasmi kuanza Agosti 29, 2025

    Stephen Wasira amesema Mitambo iko sawa, Agosti 29,2025 tutanza Kampeni rasmi na kwa muda wa siku 60 mitambo itaenda kila mahali Tanzania
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Itakuwa jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi, tunasikitika wana matatizo mengi

    Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu. Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hakuna nchi isiyokuwa na manung'uniko

    Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung’unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung’unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung’unika nchini nitakuuliza wangapi wananung’unika maana tupo wengi. Wakati nafanya kazi kwenye serikali ya awamu...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Steven Wasira: Siwezi kujibu hisia za watu

    "Hisia ni hisia, mimi siwezi kujibu hisia za watu, wala siwezi kuwazuia kuhisi" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: CCM hakuna makundi

    “Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
Back
Top Bottom