Wasira: Kafanya/ kasema nini?

Wasira: Kafanya/ kasema nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,763
Reaction score
100,855
Heche kamgonga sana jana. Hivi kafanya/ kasema nini?

Wadau tukuzane.
 
Hatuwezi kufanya maridhiano mpaka pale waliosababisha vurugu ya octaba 29 watakapokamatwa na kupelekwa mbele ya sheria
 
Huyu mzee ni mtu wa hovyo sana na ndiye yuko nyuma ya maovu yote yanayotendwa na serikali hii.
 
Ndio kapewa kazi ya kuchakata maridhiano na watu feki, hana haya na sura yake ka'kifaru
 
Back
Top Bottom