Khofu hutumika kama mbinu ya kuwanyamazisha watu, kuwapora haki zao, kuwalazimisha kufanya mambo yenye maslahi na anayejenga khofu na pengine kupunguza uwezo wa kufikiri kwa yule anayetiwa khofu.
Khofu ikizidi kwa yule anayekhofishwa huongeza ujasiri na humfanya kufanya mambo makubwa kuliko...
Katika pita pita zangu za twitter kuna mdau katoa solution dhidi ya watekaji ambao tumewapa jina la watu wasiojulikana.
Anashauri kuwa wakati wa kuwa na silaha katika shughuli za harakati za kisiasa ni huu.ili wakitokea hao watekaji wapate kashkashi.
Je ni suluhisho?
Kumekuwa na matukio mfululizo ya watu kutekwa, na watu tunaoaminishwa na serikali yetu iliyoko madarakani kuwa watu hao ni watu wasiojulikana, matukio ambayo yameongezeka sana katika utawala huu wa awamu ya tano, matukio ambayo hapo siku za nyuma hayakuwepo.
Swali kubwa tunalojiuliza wananchi...
Ukifuatilia kwa karibu mbinu za watekaji au ukamataji wa raia ya wasiojulikana na dola zinafanana kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa wasiojulikana wakiteka raia hawarudi lakini dola ikiteka au kamata raia atafikishwa mahakamani siku ya 2 au 3!! Lakini mbinu na mazingira ya ukamataji au utekaji wa...
Miaka kama miwili iliyopita kasi za kikundi cha "Wasiojulikana" ilikuwa ya juu ajabu. Kulikuwa na tetesi nyingi kuhusu nani hasa walikuwa nyuma ya hiki kikundi, na mengi sana yalisemwa.
Kwa wengi ilikuwa ni vigumu kuamini kuwa kikundi cha "Wasiojulikana" kilikuwa hakina uhusiano na serikali kwa...
Nimekosa usingizi nikaamua nianzishe thread hii.
Tujiulize, hivi Spika Ndugai anaposema Tundu Lissu hawezi kuhudumiwa na bunge katika matibabu yake kwa sababu alikiuka taratibu za kwenda kutibiwa nje, ana msingi gani katika hoja yake, ikiwa:
- Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi na kufikishwa...
Asalaam Alleykum:
Mwaka 2017 ulikuwa na mbwembwe nyingi sana.
Moja wapo ya mbwembwe hizo ni zile za watu wasiojulikana ambao walipiga vita za madawa ya kulevya wakashindwa, wakavamia Clouds na kutisha watu, wakamiminia Tundu Lissu risasi na mambo mengi ambayo yalilitia doa nchi yetu kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.