Kumekuwepo na wimbi kubwa la wasanii kujiingiza kwenye siasa kwa kuwania nyazifa za juu za kuiongozi je hii sio hatari kwenye nchi yetu ?
Hili wimbi la hivi sasa na katiba mbovu iliyopo inatupeleka wapi Tanzania pale ambapo kura yako haina maana yoyote, hii inaweza kuwa ndio chanzo cha kila...
Zoezi lilianza June 3 2025. Hapa ninaleta summary ya kudikia leo 18/06/ 2025 kutoka mtandao wa www.hyperAuditor.com
Mwambieni Mange Kimambi afanye yake, aachane na Watanzania. Maana badala ya kupunguza followers, hawa wasanii/ watu maarufu wote wameongeza idadi ya followers.
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums,
Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo.
Kinachoshangaza...
Hawa ni watu ambao wengi wao wametoka familia duni kiuchumi na kielimu lakini kwa uweza wa Mungu wakainuliwa kupitia vipaji vyao. Ukiondoa vipaji walivyo navyo karibu wasanii wote hawana taaluma yoyote ya kuweza kuingiza kipato. Wanajipatia riziki kupitia vipaji. KUWALAUMU NA KUWASHAMBULIA KWA...
Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
endelea.....
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya...
Kwa asili, kazi kuu ya msanii ni kutoa burudani. Na walaji wakuu wa kazi hizi kwa asilimia kubwa ni wananchi wa kawaida, watu wa mtaani, vijana, akina mama, na wapiga kura wa taifa hili. Hawa si serikali, si viongozi, bali ni watu wanaohitaji sauti, matumaini, na faraja kupitia sanaa.
Lakini...
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa...
Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo...
Mwaka 2006 ndiyo ulikuwa mwanzo wa kufahamika kwa binti mdogo toka Pennsylvania aitwaye Taylor baada ya kusign mkataba na label ya Big Machine Record, mwaka huo aliweza kutoa album ya country ikijulikana kama Taylor Swit ikiwa kama debut album.
Taylor aliendelea kutoa album kadha kwa kadha kama...
SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI
Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina kubwa sana Tanzania. Mwisho wa siku, watu wakaamua kumpoteza. Walitaka ashuke na kuwa chini kabisa...
Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi
Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi
Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
Wakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.
===
Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41.
Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa...
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
Kweli Marekani imepata mchambaji! Hawa wasanii nao walijitakia wenyewe!
Trump targets Taylor Swift and Bruce Springsteen on Truth Social
The Dark singer accusing Trump of being "unfit" for office during the opening night of his UK tour.
Huyu kachambwa hivi:
he refers to Bruce Springsteen as...
Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu;
1. Q Chief
2. TID
3. Baraka da Prince
4. Young Killa
5. Mh. Temba
6. Chege
7. Rich Mavoko
8. Aslay
9. Maua Sama
10. AY
11. Fid Q
12. Joh Makini
13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.