wasanii

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

    Wakuu, Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini? Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho. Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu. Ni aibu kubwa sana...
  3. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

    Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
  4. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua Impact ya wasanii wetu wanaovaa kinyume na maadili kwenye Mikutano ya Kitaifa

    Kuvaa nguo zisizo za heshima ni moja ya sifa za wanamuziki wetu. Wote tumeona na tunaangalia TV chanel zetu za ndani. Siyo vyema kusimulia zaidi kinachoonekana kwenye miili ya wanamuziki hao ambacho kimaadili hasa ya Kitanzania, hakikupaswa. Tuje kwenye mada. Ninaomba kuelezwa na mtu yeyote...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wasanii -Bongo movie siwaoni Energy Summit, tatizo lugha?

    Nilitegemea kama mlivyojikusanya Dodoma Mkutano Mkuu Mbogamboga na hapa Africa Energy Summit muwe wengi vile vile au lugha mzozo?
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

    Najua wenyewe hawapendi. Ni kazi tu za order. Uzi tayari
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wameanza ku dharauliwa la vijana

    Huu ni mwanzo tu tumeona huko Dodoma wasanii walikuwa kama sanamu vijana hawakuwaaikiliza wala kuwachukulia umuhimu. Vijana wote walikuwa wanamwangalia Lissu na Heche. Vijana wameanza kujua hawa ni machawa na hawana faida kwao yeyeote zaidi ya kiki na nyimbo zao. CCM watapoteza pesa bure...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha pengine wasanii wetu hawapo huru wameamua kujihusisha na siasa ili kulinda kazi zao na mali zao

    Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo fikiri kwamba labda wanapenda kufanya hivyo. Kwa mtizamo wangu nazani kwa mfumo wa siasa za hivi leo...
  9. GadoTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

    Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu. Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi sana waitwa Dodoma mkutano wa CCM

    Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu. Gharama za wasanii: 1. Usafiri 2. Malazi 3. Chakula 4. Posho Ninajua hizo...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Dodoma ulikuwa na ulazima wakujaza wasanii na waandishi wa habari?

    Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
  15. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roma aeleza hisia zake Vyama vya Upinzani kuwatenga wasanii katika shughuli zao

    Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return…. Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Legends platform: wasanii wa zamani na kazi zao

    Tutaanza na Bob Marley katika kazi iliyotukuka isiyoisha fashion ya no woman no cry (hakuna mwanamke hakuna kilio) No woman no cry lyrics by bob marley [Chorus] No woman, no cry No woman, no cry No woman, no cry No woman, no cry [Verse 1] 'Cause, 'cause, 'cause I remember a when-a we used to...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mkorongo unashusha thamani ya wasanii wa Kitanzania

    Mimi ni mpenzi mkubwq wa wasani wa kiafrika hasa watanzania. Ila kunakitu kinanikwanza sana ninapo angaria movie au video za miziki ya Tanzania. Unakuta mtu anaubo zuri na mwonekano wa kiafrika lakini ukiangaria ngozi yake unashindwa kujuwa kama ni mwarabu, mzungu ,mhindi au mchina au...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wasanii walioweza kutoa ngoma zilizokimbiza chati zaidi ya miezi 6

    Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa. ana ana ana dooo kachani ka basto displine matido lalalalalahhh. ×2 Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa; Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..! 1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..! Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
Back
Top Bottom