Kwanini wasanii wa Bongo hawajui kujieleza?

CABANA

JF-Expert Member
Feb 6, 2013
418
548
Habari wanajamii.

Nimekuja na swali hili baada ya kumsikiliza Ali Kiba alipotutangazia anakuja na kitu babukubwa tukamsubiri kwa hamu lakini alipoanza tu ile intro ni kama mtu anaeongea na masela tu kitaa hajui kama anaongea na East Africa nzima.

Hata Diamond huwa ana huo ugonjwa, yaani anashindwa kabisa kuwa na confidence mbele ya waandishi au kituo cha redio wakati wakiwa jukwaani ni wenye nguvu na wanajieleza vizuri.

Nawasilisha.
 
Wewe umemuona huyo tu, lakini ni watanzania wengi sana hawajui kujieleza wala kuongea lugha inayoeleweka!

Hasa vijana hawa wajuaji. Porojo mingi na lugha zao za oya oya, niaje, nimedamshi.. blah blah..

Ni tofauti kabisa ukimsikiliza mzungu yeyote anapoongea. Unaona kuna mtiririko wa lugha nyoofu, lugha isiyokwama, msamiati toshelezi, na mantiki.

Hivi hizo shule zenu sijui huwa hazifundishi stadi za lugha?

Au mmedumaa tu ubongo?
 
CABANA

Kaongee wewe mbele ya vyombo vya habari,ulivyoandika tu inaonekana hata hao unaowaponda wana afadhali, keyboard na kuongea hadharani wapi na wapi
 
CABANA

Usiwalaumu wasanii.

Tanzania kuanzia eminent people wanaotambuliwa dunia nzima kina John Samwel Malecela, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli hawajui kujieleza.

Kikwete aliulizwa na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Alichojibu ni aibu.

Afadhali kidogo ukiwasikiliza watu kama Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi na Rais Mkapa unaona hawa watu wanaweza kujieleza. Kwa kiwango cha Watanzania.

Yani unaweza kumsikiliza mchezaji wa mpira tu Marekani NBA au NFL, anaulizwa maswali kuhusu michezo, anajieleza vizuri kuliko rais wa Tanzania.

Tuna tabia hizi katika kujieleza.

1. Kutomalizia sentensi au mawazo. Ni kama tuna assume mtu atajazia tu, atajua tu.

2.Kutoelezea habari kutoka msingi wa habari. Mtu anaaanza kuelezea habari juu juu kama vile kila mtu anaijua

3. Kutotamka maneno kwa usawia.

4. Kutoweza kuunganisha na kunyambulisha dhana tofauti.

5. Kujipinga katika maneno, bila kujua.

Kuweza kujieleza vizuri ni alama ya usimi na kujua kuunganisha mambo mengi vizuri.

Uwezo huu ni mzigo kwa Watanzania wengi.
 
Usiwalaumu wasanii.

Tanzania kuanzia eminent people wanaotambuliwa dunia nzima kina John Samwel Malecela, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli hawajui kujieleza.

Kikwete aliulizwa na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Alichojibu ni aibu.

Afadhali kidogo ukiwasikiliza watu kama Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi na Rais Mkapa unaona hawa watu wanaweza kujieleza. Kwa kiwango cha Watanzania.

Yani unaweza kumsikiliza mchezajibwa mpira tu Marekani NBA au NFL, anaulizwa maswali kuhusu michezo, anajieleza vizuri kuliko rais wa Tanzania.

Tuna tabia hizi katika kujieleza.

1. Kutomalizia sentensi au mawazo. Ni kama tuna assume mtu atajazia tu, atajua tu.

2.Kutoelezea habari kutoka msingi wa habari. Mtu anaaanza kuelezea habari juu juu kama vike kila mtu anaijua

Niliwahi kuwa na tatizo la kuongea bila kujua wapi ninyamaze hadi nilipokutana na wacanada wawili ndo nkajua kumbe maongezi ni kama kuimba vile hivyo kupokezana ni muhimu.

Conversation is an art.
 
Usiwalaumu wasanii.

Tanzania kuanzia eminent people wanaotambuliwa dunia nzima kina John Samwel Malecela, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli hawajui kujieleza.

Kikwete aliulizwa na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Alichojibu ni aibu.

Afadhali kidogo ukiwasikiliza watu kama Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi na Rais Mkapa unaona hawa watu wanaweza kujieleza. Kwa kiwango cha Watanzania.

Yani unaweza kumsikiliza mchezajibwa mpira tu Marekani NBA au NFL, anaulizwa maswali kuhusu michezo, anajieleza vizuri kuliko rais wa Tanzania.

Tuna tabia hizi katika kujieleza.

1. Kutomalizia sentensi au mawazo. Ni kama tuna assume mtu atajazia tu, atajua tu.

2.Kutoelezea habari kutoka msingi wa habari. Mtu anaaanza kuelezea habari juu juu kama vike kila mtu anaijua

3. Kutotamka maneno kwa usawia.

4. Kutoweza kuunganisha na kunyambulisha dhana tofauti.

5. Kujipinga katika maneno, bila kujua.

Kuweza kujieleza vizuri ni alama ya usimi na kujua kuunganisha mambo mengi vizuri.

Uwezo huu ni mzigo kwa Watanzania wengi.
Niliwahi kusoma makala fulani ya kiutafiti inasema kuwa, watoto wanapochapwa viboko mashuleni na manyumbani, inawafanya kupoteza au kudhoofisha uwezo wao wa kuzungumza lugha!

Ukijumlisha fimbo, njaa, maradhi, na umasikini, mtoto anaweza kuwa zezeta kabisa!

Panahitajika mkazo mkubwa sana wa kuwapa watoto uwezo wa kuzungumza lugha sahihi kupitia mazoezi ya kusoma, mashindano ya kuzungumza, kuandika, mabishano na midahalo!

Huko Tanzania, mtoto haruhusiwi kumjibu baba wala kujieleza! Ni mwiko!

Akienda shuleni, hatakiwi kubishana na mwalimu. Akifurukuta tu ni viboko!
 
Ila Kiba kavurunda mpaka nimeona hata Mondi kumbe ndo Maana anampiga bao aseee

Hawa wasanii wana fans wengi sana east Africa na central inabidi wajibrand namna ya kuongea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom