wasanii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

    Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

    Wakuu habari za humu! Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo. Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili CHADEMA...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM. Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wasiwe na uchu wa madaraka kwa kutaka kila mmoja kugombea kwenye Uchaguzi

    Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kuja na tuzo kwa wasanii

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote ndani ya wizara hiyo ikiwemo habari, utamaduni, sanaa na michezo. Akizungumza na TBC katika kipindi cha Serebuka, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Vituo vya redio vinapowaajiri wasanii/wachekeshaji viheshimu michango yao

    Habari za asubuhi Watanganyika wenzangu. Lengo la kuwapa ajira wasanii bila shaka inalenga kuwapata wasikilizaji, kuwagombea audience kutengeneza base. Zembwela hata mie amenivutia kumsikiliza, zaidi yake zembwela ana iq nzuri anapambanua mambo, Masoud Kipanya ni mmojawapo wanajua kuchambua...
  7. JamiiForums Tanzania Msanii Harmonize: Wasanii wanaitaji Tuzo ili kuleta heshima kwenye "Music wa Tanzania"

    Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako isipofikisha Million 1 (views) ndani ya siku mbili basi hiyo ngoma sio bora" "Kushindania views...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Think tanks wa Tanzania ni wasanii

    Think tanks: a body of experts providing advice and ideas on specific political or economic problems of a nation. Hawa ndio Bunge lijalo ndio watajaa maana kila moja anataka kwenda bungeni! sijui Mdee, Harmonise, Steve , Master J ...you mention them! and many many others! Our Think Tanks!
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wanaogombea Ubunge 2020

    1.HARMONIZE Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM 2.SHILOLE Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM 3.STEVE NYERERE Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM 4.KINGWENDU Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

    Wana Jf Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao walichukizwa na kitendo kile na kuanza kumtukana wakitaka ajirekebishe, matusi Yale yalimtikia mwanae...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

    Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike! Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu! Salam ziwafikie: Waziri wa Habari na Michezo Takukuru BASATA Swali ni je...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa "masupastaa"

    Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari". Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua na public interest na watu wanaweza kukuchambua wapendavyo iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Hiyo ndio...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unazijua Sifa za mgombea wa Ubunge?

    Kama kawaida nikiwa mdau wa masuala ya Siasa za Tanzania nimeona ni jambo la Afya kwa pamoja tukijikumbusha na kuziangalia sifa zinazozingatiwa wakati wa Uteuzi wa mgombea wa Kiti cha Ubunge katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wewe ambaye umejipanga kuingia katika kinyang'anyiro cha nafasi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wasanii wetu wanajua maana ya Hakimiliki (Copyright)?

    Wakuu, Je wasanii wetu wa sanaa wanajua maana ya hakimiliki yaani copyright? Tunaposema hakimiliki au copyright inamaanisha haki aliyomilikishwa kisheria mtunzi au mwandishi wa kazi fulani kama kitabu, jarida, sauti, video au sauti yenye video. Sasa Kwa sheria ya Tanzania, haki hizi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo kwa wasanii wa filamu: Tumieni mbuga zetu/ Wanyama wetu biashara zenu zitapata pesa sana

    Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wasanii nani ni mkali wa kuandika ngoma kali?

    Ibraa kutoka konde music world wide Au! Mboso kutoka wasafi baby 👇👇
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii hii inawahusu sana

    WASANII WA MUSIC HII INAWAHUSU; kipaji ni sehemu ya maisha yetu,tunaamin kila binadamu anakipaji alichopewa na mwenyenz mungu,vipaji vipo vingi ila kuna wanaopenda KUIMBA, wasanii wanaopenda music wapo wengi sana ila ni wachache wanaopata nafasi ya kurecod na kuskika. Sasa mkombozi wenu kaja...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wa Bongo Movie Wakiongozwa na Steve "rais wao" Walimchongea Idris

    Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa Pia wanatumia staili hiyo ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…