Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa,

Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na masikio

Kwa zama za sasa sio tu kwenye Media, hata huko kwenye Makampuni makubwa, Taasisi mwenye Kisu kikali ndio huwa mla nyama

Dakika zimesalia chache sana, Teka sikio fungua Jicho

fatilia live



Tchao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom