Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,745
Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani.
Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko kisiruke kwa sababu Maudhui yanafanana, nilishaleta uzi humu.

Kulikuwa na majadiliano kabla ya The Switch kuanza? Well, mazungumzo yalikuwepo ila muafaka haukufikia ndio maana kipindi kikasimama na The Switch ikachanja mbuga japo naona ni kipindi cha kawaida na siku zinavozidi kwenda ni kama The Playlist version 2 na Lil Ommy ndio ana dominate kipindi huku co-host Ray Mshana na Ammy Gal ni kama wasindikizaji.

Je, Lil Ommy hawaelewani na Jonijo tangu Times FM? Kuna tetesi kuwa walikuwa hawaivi tangu Times FM, na jamaa Lil Ommy ilikuwa kama ka dominate pale, japo Lil Ommy huwa hakubali hilo, pia huwa haelezi ukweli kama alimuonesha tobo Jonijo la Wasafi, japo wadau wanadai Jonijo alipewa mchongo na Ommy wa kusepa Wasafi.

Baadae wanakutana wote Usafini, na Jonijo anatakiwa adrop kwenye Block 89, abaki kwenye Bartender huku Brand iliomuweka mjini ya "Now you Know" ikipotea ambayo wengi walimjulia huko, ni kama ilimkata ila no way out.

Makubaliano ya kukifuta au kukibadili ratiba kipindi cha Block89 kama hakukubaliana nayo na kukaa pembeni hiyo inampa nafasi Lil Ommy kuteka waves za Usafini na jamaa kukaa bench pamona na wenzake wa2 ambao haileweki wanaelekea wapi.

Baadae tunaona Majizo kalamba Dume huku Wasafi wakipoteza mashabiki wa Jonijoo kwenye Bar tender na Block89, Jonijoo kaenda Efm, je atatangaza kipindi gani redion au Kwenye Tv? Namuona Jonijoo akisettle pale na kufanya makubwa zaidi ya alipokuwa awali.

Bila Lil Ommy kwenda Wasafi Jonijoo angeendelea kuwepo na kushine kupitia Bartender. Kutoelewana na Lil Ommy, shida ilishawahi tokea pia kwa Calipso kipindi yupo Timesfm kwenye Playlist iliomekana kama jamaa anambania na akasepa Clasaic fm, maneno yakaja kijiweni kua Ommary ni mtu sio na kile kipindi hataki mtu mwingine, swali Ammy gal kawezaje mpaka wamefika hapa?

Me sijui, Baada ya Lil Ommy kufika Wasafi hao hao pia wanatandika daruga.

Yetu macho Ya Kuku Mayai aacha mchezo Uendelee

Tchaoo
 
Mseme tu maslahi ndio yamemuondoa hapo wasafi fm mbona sie wengine tunajua hivyo ila kuanza kusema sijui omy ndio kachangia ni uongo tu huo wa washabiki wa Wasafi kutetea upande huo mimi mwenyewe demu wangu yupo mbioni kuacha kazi hapo we mtu afanye kazi ya kubwabwaja mda wote halafu azidiwe mshahala na tela wa bank ya Aces kweli huo ni uungwana
 
Bado sijakuelewa mkuu, suala la maslahi always huwa hayatoshi na ukiendekeza utaharibu career yako ndio kama yaliyomkuta PJ, Jonijoo alisepa timesfm, tuseme maslah labda tusemw na airtime, sasa na Wasafi ni maslah kwahiyo na Efm maslah yakiwa maduchu atasepa?
 
U jobless wa akili ni kazi na gharama kubwa a...

Yaani kwasababu huna kazi ndio maisha yako yote umededicate kwenye kufuatilia vipindi vyote vya redio zote na tv zote?
Huo muda ungeanzisha kijiwe Cha kubrashi viatu, au ungeanza kazi ya udobi kwa siku minimum unalaza 20'000/- ambapo kwa mwezi ni sh. 600'000/-
 
Sema ungetufafanulia kidogo Ommy Alikua the playlist na Jonijo kipindi chake kilikua kinaanza saa sita usiku,sijui kama alibadilishwa coz sijasikiliza Times fm kitambo alikua Na Aloysezia Mapembe.Connection/sababu Ya ugomvi wao ni nini?
 
Shida ya mtu na mtu si lazima wote muwe same program, mmoja alikuwa na nguvu kwenye menejimenti especially kwenye decision, so ilikuwa mmoja anahisi anakandamizwa kupitia maamuzi ya mmoja wapo hapo,
Alou Mapembe alisepa muda last time nimemsikiliza Triple A fm
 
U jobless wa akili ni kazi na gharama kubwa a.....

Yaani kwasababu huna kazi ndio maisha yako yote umededicate kwenye kufuatilia vipindi vyote vya redio zote na tv zote?
Huo muda ungeanzisha kijiwe Cha kubrashi viatu, au ungeanza kazi ya udobi kwa siku minimum unalaza 20'000/- ambapo kwa mwezi ni sh. 600'000/-
Nikupe Hongera kwa kuwa mtabiri/kunipangia jinsi ya kuishi
 
U jobless wa akili ni kazi na gharama kubwa a.....

Yaani kwasababu huna kazi ndio maisha yako yote umededicate kwenye kufuatilia vipindi vyote vya redio zote na tv zote?
Huo muda ungeanzisha kijiwe Cha kubrashi viatu, au ungeanza kazi ya udobi kwa siku minimum unalaza 20'000/- ambapo kwa mwezi ni sh. 600'000/-
Unataka awe ana brush viatu hadi saiv usiku au kujifanya ujuaji
 
Mambo mengine mbwembe na story tu.

Hapo kikubwa ni maslahi na uhuru.

Clouds Media kuna watu wana mishahara kiduchu na wengine hawana kabisa lakini hawahami kizembe!
 
Bado sijakuelewa mkuu, suala la maslahi always huwa hayatoshi na ukiendekeza utaharibu career yako ndio kama yaliyomkuta PJ, Jonijoo alisepa timesfm, tuseme maslah labda tusemw na airtime, sasa na Wasafi ni maslah kwahiyo na Efm maslah yakiwa maduchu atasepa..?

Samahani.. huyo PJ yupo wapi siku hz..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom