wasafi fm

Wasafi Classic Baby (more commonly known as WCB or WCB Wasafi) is a Tanzanian-based record label founded by Tanzanian musician Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania App gani nitapata radio ya Wasafi Fm?

    Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
  2. kidadari

    JamiiForums Tanzania Scratch kwenye Wasafi Tv ni swaga au ubovu wa mitambo

    Nimekua nafuatilia Wasafi Tv kunakuwepo na scratching kwenye picha kitu ambacho sio kizur kwa watazamaji. Cha ajabu sioni kama jambo linalochukuliwa kwa uzito na Wasafi media. Mpaka najiuliza lile ni tatizo la kiufundi au swagga tuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

    Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake. Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

    Zimbwela bwana. Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi. Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Aliyedai anaweza kuunga mfupa uliovunjika bila upasuaji amsaidie Gerald Mdamu

    Kuna siku nilisikiliza Wasafi FM kuna jamaa alihojiwa nasema anaunga mfupa uliovunjika bila kupasua tena akasema hata Mapinduzi Balama angeenda kwake angemtibu within a month. Sasa kuna huyu kijana aliyetelekezwa na timu ya Polisi huu si ndiyo wakati wa kumtibu? Hebu mchukue kama ni pesa ya...
  7. MNGONI ORG

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Dkt. Doroth Gwajima aupiga mwingi Wasafi FM leo, amfunika Kitenge

  9. M

    JamiiForums Tanzania Naulizia frequency za Wasafi fm Morogoro

    Wadau mwenye kujua frequency za Wasafi Fm kwa mkoa wa Morogoro anisaidie
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sports Arena ya Wasafi FM

    Habari Wadau, Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko kwenye watangazaji wao wakiongozwa na Maulid Kitenge na Yusuf Mkule: 1. Kuwa Biased Wako biased sana...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM hususa mtangazaji Mwanaidi mnapaswa kuomba radhi wasikilizaji wenu, kudanganya C. Eriksen amefarikifa

    Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke? Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maulid Kitenge na Sports Arena yake ya Wasafi FM hawayaongelei haya yanayoendelea Yanga SC?

    1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana. 2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo Kocha Mmoja kutokea kwa Wakikuyu iliyomkera Kipa Metacha. 3. Mwenyekiti Msolla na Injinia Hersi...
Back
Top Bottom